Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okwi Boban SunzuMkimaliza waliofanya vizuri tutaweka orodha ya mashabiki maandazi wanaopost comments za Chandimu kwenye professional football.
Hahahaa. Haya bana Mtani.
Hahahaa. Haya bana Mtani.
Nipage na matokeo ya jana kule kwa Mugabe basi. 😎
Ahsante sana Rafiki. 🙏🙏Shadeeya Member mstaarabu JF nzima
Mimi huwa navutiwa sana na Gentamycine hapa jukwaani , kwa mwaka huu 2020 kautendea haki hasa sisi tunaopenda soka la nyumbani. Japo kuna stori zake nyingine huwa ni za kutunga hasa za kumfagilia mnyama simba sports. Member gn amekuvutia hapa jukwaa la michezo kwa mwaka hu
GentamycineMimi huwa navutiwa sana na Gentamycine hapa jukwaani , kwa mwaka huu 2020 kautendea haki hasa sisi tunaopenda soka la nyumbani. Japo kuna stori zake nyingine huwa ni za kutunga hasa za kumfagilia mnyama simba sports. Member gn amekuvutia hapa jukwaa la michezo kwa mwaka huu 2020?
Poleni sana Mtani.Tulifungwa 1 kwa 0 Mtani.
Naiona safari yetu inakaribia, timu inacheza kama vile wamebeba mizigo ya mawe miguuni!
Poleni sana Mtani.
Sisi tupo kileleni kuwasubiria mje kumalizia game zenu.
Hiki ndo kimebakia kujipoza moyo Mtani. 😂😂Tutawakuta, tutawashusha.
Hilo halina ubishi.
Hiki ndo kimebakia kujipoza moyo Mtani. 😂😂
Shindeni kwanza hizo mechi zilizobakia halafu ndo muwaze namna ya kutushusha pale tulipo.
Jidanganyeni Mtani mkitahamaki msimu umekwisha. Inabakia stori tu.Uwezo tunao, tutarudi, mtaona mambo yetu.
Endeleeni kutushikia namba