Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu wengi wao ni UVCCM
Swissme[/QUOT
Zinagawiwa pale LumumbaAlafu wengi wao ni UVCCM
Swissme
Ila Mimi siyo UVCCM
Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
mie natumia nokia lumiaTRISTAR wewe je?
Swissme siyo wote wanayotumia TECNO wamegawiwa na Lumumba bali Lumumba wameangalia simu za bei ya chini ili waje wasumbue humu jf.
Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
Itakuwa ni utoto kuona aibu eti kumiliki simu fulani,na nadhani ni tabia ya ulimbukeni kushindana kwenye simu badala ya vitu vya msingi katika maisha.Wengi wana simu kwa ajili ya show off lakini ukiangalia maisha yake bora yetu tunaotumia Alcatel za tochi na techno za bei poa.Tabia hizi ni ujinga wa hali ya juu ambao ni vigumu kuuondoa.Watu kama Dangote anamiliki simu simple tu!Tabia za watu masikini wa akili na Mali zilisababisha wahenga waseme "Maskini akipata ma.ta.ko hulia mbwata" Nayasikia hapa yanavyolia mbwata!Wengine tulianza na black berry enzi hizo,leo tunatumia techno..Simu haiwezi kumrubuni mtoto wa kike tafuteni kiki nyingine!Ukiona uzi hauchangiwi sana ujue wengi wao wanaona aibu kuumbuka na vitekno vyao ..[emoji3][emoji3]
Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
Kuongoza kwa maana ya kuwa ya kwanza kwa mauzo duniani eti!
brain is the beautiful part of the body.
Nani ficicm tena mkuuAlafu wengi wao ni UVCCM
Swissme
Hehehe basi nilikuwa nafalijiwa kama wafiwa vileView attachment 540561
Dunia ipi mkuu?
Halafu hii itakuwa ya zamani nahisi[emoji85][emoji85]View attachment 540561
Dunia ipi mkuu?
Itakuwa ni utoto kuona aibu eti kumiliki simu fulani,na nadhani ni tabia ya ulimbukeni kushindana kwenye simu badala ya vitu vya msingi katika maisha.Wengi wana simu kwa ajili ya show off lakini ukiangalia maisha yake bora yetu tunaotumia Alcatel za tochi na techno za bei poa.Tabia hizi ni ujinga wa hali ya juu ambao ni vigumu kuuondoa.Watu kama Dangote anamiliki simu simple tu!Tabia za watu masikini wa akili na Mali zilisababisha wahenga waseme "Maskini akipata ma.ta.ko hulia mbwata" Nayasikia hapa yanavyolia mbwata!Wengine tulianza na black berry enzi hizo,leo tunatumia techno..Simu haiwezi kumrubuni mtoto wa kike tafuteni kiki nyingine!
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Nani ficicm tena mkuu
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
mie natumia nokia lumia
mie natumia nokia lumia
Halafu hii itakuwa ya zamani nahisi[emoji85][emoji85]
brain is the beautiful part of the body.