Hawajui simu ni ndani si nje[emoji23]Nawaona nawaonaaa.....
Mwenzangu! ukubwa wa simu unawazuzua sana
Kioo kibovu
Kamera mbovu 13mp za ubabaifu lakini akikutumia hiyo picha wewe mwenye 8mp za ukweli unamshangaa
Quality mbovu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] rubii unanini lkn mbona watuhamisha mawazo tucwe huru na tecno wereva jmn,
Mi siyo rubii bwanaaa[emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]kabisa aisee. Aniache na Y3+MUSIC yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alivyokaza kutukatisha tamaa unaweza jutia cku uloingia dukani kununua tecno wereva!
Sorry linamo [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] but umenifurahisha eti makubwaMi siyo rubii bwanaaa[emoji23] [emoji23]
Unaona inavyochanganya madesaaa[emoji23]Ama kweli tecno wereva haijawahi kumuacha mtu salama
Kuna hii hapaYaani mimi sidhani kama nitakja nunua simu tofauti na techno, coze nazipenda , zinakaa na chaji , matoleo yangu ninayobadilisha kila mwaka ni techno tu.
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Usijali mamy Kuna hizo wanaita phantom makubwa kumbe kopo tu[emoji23]Sorry linamo [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] but umenifurahisha eti makubwa
Kwa uelewa wako smartphone za tecno zinatatizo lipi?Na hakuna mtu mwenye hela akatumia tecno haswa hizo nilizokutajia awali ukatae ukubali hiyo ndiyo hali halisi
Hawajui simu ni ndani si nje[emoji23]
Picha utasema imepakwa jivuu
Si kwamba ndo uwezo ulipoishia? ?Yaani mimi sidhani kama nitakja nunua simu tofauti na techno, coze nazipenda , zinakaa na chaji , matoleo yangu ninayobadilisha kila mwaka ni techno tu.
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Hahaa Kutumia hii siofahari, walasio dhambi???.Saanaa wanasahau kutumia tecno si fahari pia si dhambi... ni uwezo wao umeishia hapo
Duniani kuna madaraja tofauti hivyo hatuwezi wote kuwa sawa
Sasa mkuu, ntakuchapa aiseePia mke mdogo wa Mkorea.
Karibu tena
Uko sahihi mi nna katecno kangu c7 nimemfunika bosi wng ana kasimu kaajabu ajabu ye mwenyewe hata hajali ila nkikutajia mshahara wke utauma kidole!Kutumia simu ya brandi fulani sio kwamba huna hela au maisha yake ni chini wala usije ukafikiri kutumia iPhone ndio kuwa unayo pesa, huo ni mtazamo hasi wa watanzania na fikra finyu. Pengine ni maamuzi ya mtu binafsi kupenda kutumia simu fulani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] hvi kunatecno zinajina hilo dd??[emoji3][emoji3][emoji3]kabisa aisee. Aniache na Y3+MUSIC yangu
brain is the beautiful part of the body.
[emoji3][emoji3]ndio kama hii ya kwangu![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] hvi kunatecno zinajina hilo dd??
Kwa uelewa wako smartphone za tecno zinatatizo lipi?
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app