Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

Nawaona nawaonaaa.....

Mwenzangu! ukubwa wa simu unawazuzua sana
Kioo kibovu
Kamera mbovu 13mp za ubabaifu lakini akikutumia hiyo picha wewe mwenye 8mp za ukweli unamshangaa
Quality mbovu
Hawajui simu ni ndani si nje[emoji23]
Picha utasema imepakwa jivuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alivyokaza kutukatisha tamaa unaweza jutia cku uloingia dukani kununua tecno wereva!
[emoji3][emoji3][emoji3]kabisa aisee. Aniache na Y3+MUSIC yangu

brain is the beautiful part of the body.
 
Yaani mimi sidhani kama nitakja nunua simu tofauti na techno, coze nazipenda , zinakaa na chaji , matoleo yangu ninayobadilisha kila mwaka ni techno tu.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Kuna hii hapa

sent from makinikia
 
Na hakuna mtu mwenye hela akatumia tecno haswa hizo nilizokutajia awali ukatae ukubali hiyo ndiyo hali halisi
Kwa uelewa wako smartphone za tecno zinatatizo lipi?

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Yaani mimi sidhani kama nitakja nunua simu tofauti na techno, coze nazipenda , zinakaa na chaji , matoleo yangu ninayobadilisha kila mwaka ni techno tu.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Si kwamba ndo uwezo ulipoishia? ?
Ulijuaje brands nyingine kama Samsung na apple hazikai na charge na hujawahi nunua?
HAYO MENGINE NI MANENO YA MKOSAJI[emoji23] [emoji23]
 
Saanaa wanasahau kutumia tecno si fahari pia si dhambi... ni uwezo wao umeishia hapo
Duniani kuna madaraja tofauti hivyo hatuwezi wote kuwa sawa
Hahaa Kutumia hii siofahari, walasio dhambi???.

Kutumia hii
[emoji116]

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Kutumia simu ya brandi fulani sio kwamba huna hela au maisha yake ni chini wala usije ukafikiri kutumia iPhone ndio kuwa unayo pesa, huo ni mtazamo hasi wa watanzania na fikra finyu. Pengine ni maamuzi ya mtu binafsi kupenda kutumia simu fulani.
Uko sahihi mi nna katecno kangu c7 nimemfunika bosi wng ana kasimu kaajabu ajabu ye mwenyewe hata hajali ila nkikutajia mshahara wke utauma kidole!

Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3]kabisa aisee. Aniache na Y3+MUSIC yangu

brain is the beautiful part of the body.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] hvi kunatecno zinajina hilo dd??
 
Mmmmmnhhh...!!!

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Kwa uelewa wako smartphone za tecno zinatatizo lipi?

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app

Hazina matatizo
kwanza ndio Simu bora zaidi duniani kote
Ndio brand inayoaminika ulimwenguni kwa kufyatua vifaa matataa
Kuanzia Europe America mpaka Asia ndio simu ambayo ukiimiliki wewe ni mwanaume!!
Acha kabisa
 
Back
Top Bottom