mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,733
Sema ya kawaida mkuu[emoji1] [emoji1]Tecno yangu Phantom 6 Plus ni nzuri vya kutosha
Sent from my Phantom6-Plus using JamiiForums mobile app
Hahaaa.. Nimekuelewa kiongozi pengine hali ya maisha inachangia watu kuwa namna hii. Basi ngoja nikiogope hicho kisu.Don't start nothing, there will be nothing.I don't do it. I overdo it.
Sijajibishana nawe, usiingilie maneno si yako.
Kuna siku utachomwa kisu cha nyonga kwamaneno usiyobonga.
Mi si muhenga lakini maneno yangu yanabwenga.
Mbona wewe huitumii?
brain is the beautiful part of the body.
Kaka umenifanya nimtemee Sain-Anna babe hapa, sio kwa kicheko hichi.Member wengi pia nia watumiaji wa ugoro
Hahahaha kweli mkuu umenena, wa tecno wasijickia vbaya jaman kwan watu wataanza kukimbia kuogopaSimu ni simu kikubwa kupata mahitaji husika kwa wakati wa techno wa samsung wa iphone wote tunaingia jf,twitter mpaka whatsapp shida iko wapi?
Power him who power exerts
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] nakufata hkohko urudi kutetea Uzi wetu wa tecno wereva[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
brain is the beautiful part of the body.
Mwenyewe tecno czpend ila Mungu anisamehe kwa kweliiBora nikae bila cm kuliko kutumia tecno
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ha ha ha a
Hunipati kamwe[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] nakufata hkohko urudi kutetea Uzi wetu wa tecno wereva[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Yan umeanza vizuri sana ila umekuja kupuyanga mwishoni eti umasikini. May be end like this that is ur opinion na kila mtu ana uhuru kutoa maoni yake
Nokia Jeneza
acha tujimwage, wengi wapeJamiiForums naona mmeamua kuwachagulia watumiaji wenu signature automatically.
Tecno imeteka soko la Tanzania, maana kila mtu akipost, chini unaona sent from Tecno...[emoji3]
Ushauri kwa wanaotongoza humu na kusema wanatumia iPhone 7, na wanaponda hizi simu zetu; badilisheni signature. Hii ni baada ya mtu kupost anatoa ajira, alafu mdau mmoja akasema na unatymia Tecno X utawezaje kumlipa mshahara[emoji20] .
Conclusion: doctor wangu ana V8, pamoja na Nokia torch.
-callmeGhost
Na mimi nayetumia Kibamia Tz
unanionaje ?
Sent from my KIBAMIA TZ Y530-U00 using JamiiForums mobile app
He he he he heeee! Acha niweke ugoro wangu vizuri hapa [emoji125][emoji125]
Sent from my SM-T705 using JamiiForums mobile app
C hyo umerudi kaa hapa hapa tuvumilie vichamboo vya wnye samsung[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hunipati kamwe
brain is the beautiful part of the body.