Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

Don't start nothing, there will be nothing.I don't do it. I overdo it.

Sijajibishana nawe, usiingilie maneno si yako.

Kuna siku utachomwa kisu cha nyonga kwamaneno usiyobonga.

Mi si muhenga lakini maneno yangu yanabwenga.
Hahaaa.. Nimekuelewa kiongozi pengine hali ya maisha inachangia watu kuwa namna hii. Basi ngoja nikiogope hicho kisu.

Nimetulia bhana.

Nokia Jeneza
 
Simu ni simu kikubwa kupata mahitaji husika kwa wakati wa techno wa samsung wa iphone wote tunaingia jf,twitter mpaka whatsapp shida iko wapi?

Power him who power exerts
Hahahaha kweli mkuu umenena, wa tecno wasijickia vbaya jaman kwan watu wataanza kukimbia kuogopa

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Acheni usengelema kwaio kutumia tecno ni dhambi!!? Mbona wote tunachati hapa JF wenye sumsung na wenye tecno, mandezi wakubwa nyie

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Tecno haijawahi kumuacha mtu salama.....

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Baadhi iphone 6

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Yan umeanza vizuri sana ila umekuja kupuyanga mwishoni eti umasikini. May be end like this that is ur opinion na kila mtu ana uhuru kutoa maoni yake

Nokia Jeneza


Kwani huwa mnakubaligi ukweli?
 
JamiiForums naona mmeamua kuwachagulia watumiaji wenu signature automatically.

Tecno imeteka soko la Tanzania, maana kila mtu akipost, chini unaona sent from Tecno...[emoji3]

Ushauri kwa wanaotongoza humu na kusema wanatumia iPhone 7, na wanaponda hizi simu zetu; badilisheni signature. Hii ni baada ya mtu kupost anatoa ajira, alafu mdau mmoja akasema na unatymia Tecno X utawezaje kumlipa mshahara[emoji20] .

Conclusion: doctor wangu ana V8, pamoja na Nokia torch.


-callmeGhost
acha tujimwage, wengi wape

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom