Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

Samahani ndugu, Mimi naomba kufahamisha hizo tecno very classy Kuliko samsung
3tu!
 
Tecno ni mkombozi wetu

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Kiongozi umemaliza,kila mtu anajikuna anapofikia,kama mimi kula yangu ni ya kuunga unga na nakaa kwenye chumba cha kupanga ni busara kutumia simu ya 1.2M ?,nitaendelea kutumia simu za laki moja mpaka laki mbili maana huo ndio uwezo wangu

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
 
Uko sahihi kiasi Chake ila kwenye chaji hapo kuna utata
Chaji 90% hutegemea matumizi yako
 
Watumiaji wa tecno waige mfano wako!
Kutumia tecno wala si dhambi ndio uwezo wetu tu. hakuna mtu asiyependa mambo mazuri bhana!
mtu anatumia y3music ya 99999 halafu anajitapa ati anapenda tecno sababu Samsung na Iphone ni mbaya si maajabu??
 
Embu nipunguzie kidogoo
Mama yangu anaishi Australia mimi niko na mama yangu aliniambia nitafute mke wa kumlithi mali zake kwasababu kwetu tuko wawili mimi na dada yangu suzi yeye yuko marekani,nakuomba uingie Pm pls

Swissme
 
Hapana

sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi kiasi Chake ila kwenye chaji hapo kuna utata
Chaji 90% hutegemea matumizi yako

Believe me. Nilishanunua tecno brand new w4 about a year ago nikaitumia. Its effieciency in terms of power consumption just left me gazing.

Imagine toka saa 2 asubuhi nina browse huku na kule na nimeshea hotspot kwenye laptop pia. Kufikia saa 2 jioni ndio simu iko kwenye 10%.
Ukiangalia hapo ni almost 10+ hours of continous usage.

Chukulia samsung ya uwezo unaokaribiana na hio tecno likely galaxy J2 brand new halafu tuipigishe mzigo sawa uone kama on screen itatoboa hata masaa 6 tu.
 
Digital ipi zaidi?? Wakati Tecno c8 hapa ina run my aacount jf.

Sent from my Tecno wereva using jamiiforums mobile app

Hata vitochi pia vinarun akaunti za watu kadhaa
 
Watumiaji wa tecno waige mfano wako!
Kutumia tecno wala si dhambi ndio uwezo wetu tu. hakuna mtu asiyependa mambo mazuri bhana!
mtu anatumia y3music ya 99999 halafu anajitapa ati anapenda tecno sababu Samsung na Iphone ni mbaya si maajabu??
Amein

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
 
hivyo hiko ni kigezo pekee cha kusema samsung na iphone mbaya?
 
Mama yangu anaishi Australia mimi niko na mama yangu aliniambia nitafute mke wa kumlithi mali zake kwasababu kwetu tuko wawili mimi na dada yangu suzi yeye yuko marekani,nakuomba uingie Pm pls

View attachment 540748

Swissme

Kurithi mali za mama yako? Aliyekwambia kwetu tunadhiki na mali za urithi nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…