Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

Phantom ndio simu bora na gharama zaidi kutoka tecno na ndio mnajivunia??
Okay inauzwa laki6.
Samsung kuna A series,
Jseries
Sseries
Note

Kote humo hamkai kwa hiyo phantom

Sasa huko tecno J7prime tunaiweka na Phantom?
S8 tunaiweka na Phantom?
A9 tunaiweka na Phantom?
Note 5 tunaiweka na Phantom?

Na zote hapo hakuna Chini ya laki 6
Kubaliana na hali tu ndugu
Usingizi wa Serena hotel unaraha yake si sawa na wa gongazote lodge
human needs unlimited [emoji16] [emoji16]

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
ahh wapi, we mtoto kalale, hii mida yetu [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Kukaa tu Tz unakua mtumia tecno automatically.. sasa we nchi gani hatujulikani sehemu yeyote potential? Watz wote kama uko tz ndio inaish hata km una i7, wewe ni mtumia tecno tu
 
human needs unlimited [emoji16] [emoji16]

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Nachojua tecno wanatumia mediatek vs snapdragon Samsung,, kuna function kama 3D games ndio inaweza kunilimit kucheza, ambazo huwa sina mpango nazo, sasa nispend millioni 2,kwenye kwa functionalities ambazo sina mpango yanini, wakati huku laki 3 inanitosheleza

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Ila honestly tecno unazikuta Africa hasa east Africa, ukiwa unaish nje hasa ulimwengu wa 1 unaweza dhan tecno ni aina ya gari au sahani..nilipatwa na huu ushamba wkt flani; kumbe ni popular fones in tz
Walitarget soko la Afrika tu

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Na tecno... N special kwa watz...wacha tujidai

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom