Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

Nachojua tecno wanatumia mediatek vs snapdragon Samsung,, kuna function kama 3D games ndio inaweza kunilimit kucheza, ambazo huwa sina mpango nazo, sasa nispend millioni 2,kwenye kwa functionalities ambazo sina mpango yanini, wakati huku laki 3 inanitosheleza

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app

Kubali tu ndugu umasikini ndio mwanzo wa yote hayo!
3D games ndio inapatikana Samsung pekee??
Kioo cha simu yoyote ya Samsung Ubora na Uangavu wake huwezi linganisha na simu yoyote toka tecno hilo nakutanabaisha.
Why?? Wanadeal na quality sio alimradi simu
Mbona umaskini si kilema jamani tukubaliane na hali zetu!!
Huwezi afford acha na mambo ya "sizitaki mbichi hizi"
 
Kimaskin maskini lzm ujipe moyo, gari, nyumba, simu, nguo, msosi, mtaa unaoish vyote haviwez hukumu...poleee

Ulimwenguni kuna matabaka na madaraja na kweli tunatofautiana katika uwezo kimaisha.
Usawa upo kwa Mungu tu na ndio maana kila mtu anapigana kivyake kuupgrade toka chini kwenda juu.
Kampuni zote kabla ya kuanza production ya bidhaa hufanya marketing segmentation, kwanini?? ili kuweza kupata marketing share, kujua mahitaji ya markets wajue product gani zitanoga kwa gender fulani, Status ipi watatumia ipi, Umri upi product itawafaaa
 
Kubali tu ndugu umasikini ndio mwanzo wa yote hayo!
3D games ndio inapatikana Samsung pekee??
Kioo cha simu yoyote ya Samsung Ubora na Uangavu wake huwezi linganisha na simu yoyote toka tecno hilo nakutanabaisha.
Why?? Wanadeal na quality sio alimradi simu
Mbona umaskini si kilema jamani tukubaliane na hali zetu!!
Huwezi afford acha na mambo ya "sizitaki mbichi hizi"
Gorilla screen ndio nispend kote huko

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Gorilla screen ndio nispend kote huko

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app

Kwani hakuna simu za laki3 Samsung? au kwa vile hazina ukubwa kama nyumba??
 
5.5 inch ndio ukubwa wa nyumba, kama Samsung nimeshazitumia, kuna kinachonivutia nitumie tecno wewe umewahi tumia?

Wewe utumie Samsung wewe?? kHa ha ha a a a
Labda Sony Z2
Mwanzo ulivyonijia juujuu nikajua unakitu kichwani kuhusuana na Industry hii kumbe kichekechea tu
Mara ooh Samsung mbaya
Mara Tecno wana simu zenye classy kuliko Samsung, zitaje holaaa
Oooh Nitanunuaje simu kisa gorilla screen kumbe unajua Quality is where to be found eh

Tecno kwangu ni fedheha!! Naungana na mchangiaji mmoja hapo awali aliyesema bora abaki hana smartphone kuliko kutumia tecno."
Sumu haionjwi
Tupambane tu hali zetu mpendwa, mambo ya sizitaki mbichi hizi hayafai
 
Kwa hiyo unaniambia niache tecno yangu ninunue Samsung, bila sababu za kutosheleza, huu mwaka wa pili natumia tecno sijawahi kuona tatizo lolote, pia huna sababu za kutukana, mimi na wewe hatuna hisa kwenye hizi kampuni

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Eti eh!!

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
JamiiForums naona mmeamua kuwachagulia watumiaji wenu signature automatically.

Tecno imeteka soko la Tanzania, maana kila mtu akipost, chini unaona sent from Tecno...[emoji3]

Ushauri kwa wanaotongoza humu na kusema wanatumia iPhone 7, na wanaponda hizi simu zetu; badilisheni signature. Hii ni baada ya mtu kupost anatoa ajira, alafu mdau mmoja akasema na unatymia Tecno X utawezaje kumlipa mshahara[emoji20] .

Conclusion: doctor wangu ana V8, pamoja na Nokia torch.

-callmeGhost

We pimbi kweli kwani kutumia techno ni kigezo cha utajiri au umasikini? Akili za funza hizo
 
bora mimi situmii tecno

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo unaniambia niache tecno yangu ninunue Samsung, bila sababu za kutosheleza, huu mwaka wa pili natumia tecno sijawahi kuona tatizo lolote, pia huna sababu za kutukana, mimi na wewe hatuna hisa kwenye hizi kampuni

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app

usually, huwa situkanagi ila naongeaga ukweli mtupu!
Kwanini nikutukane ndugu yangu? Kwangu mimi Tecno ni tusi tosha!!
Mida ya kwenda kuanza kushughulika hii tukapambane na hali zetu
 
Nilichoona hapa wasiotumia tecno ndio wanaumia kwa nini wengine wanatumia sio brand nyingine, wewe unakasamsung chako wa tecno anakuhusu nini

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Nilichoona hapa wasiotumia tecno ndio wanaumia kwa nini wengine wanatumia sio brand nyingine, wewe unakasamsung chako wa tecno anakuhusu nini

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Wape Wape Vidonge Vyao

Screenshot_2017-07-13-06-12-11-1.png
 
Kuna watu wanagubu jaman.yaaan unakurupuka ukoo unaanza kuponda tecno!!!izo ni tabia za kike

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom