rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
Nachojua tecno wanatumia mediatek vs snapdragon Samsung,, kuna function kama 3D games ndio inaweza kunilimit kucheza, ambazo huwa sina mpango nazo, sasa nispend millioni 2,kwenye kwa functionalities ambazo sina mpango yanini, wakati huku laki 3 inanitosheleza
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Kubali tu ndugu umasikini ndio mwanzo wa yote hayo!
3D games ndio inapatikana Samsung pekee??
Kioo cha simu yoyote ya Samsung Ubora na Uangavu wake huwezi linganisha na simu yoyote toka tecno hilo nakutanabaisha.
Why?? Wanadeal na quality sio alimradi simu
Mbona umaskini si kilema jamani tukubaliane na hali zetu!!
Huwezi afford acha na mambo ya "sizitaki mbichi hizi"