1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
human needs unlimited [emoji16] [emoji16]Phantom ndio simu bora na gharama zaidi kutoka tecno na ndio mnajivunia??
Okay inauzwa laki6.
Samsung kuna A series,
Jseries
Sseries
Note
Kote humo hamkai kwa hiyo phantom
Sasa huko tecno J7prime tunaiweka na Phantom?
S8 tunaiweka na Phantom?
A9 tunaiweka na Phantom?
Note 5 tunaiweka na Phantom?
Na zote hapo hakuna Chini ya laki 6
Kubaliana na hali tu ndugu
Usingizi wa Serena hotel unaraha yake si sawa na wa gongazote lodge
human needs unlimited [emoji16] [emoji16]
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
haswa [emoji16] [emoji16] [emoji16]Nakuona na wereva yako mwenyewee
haswa [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Mkuu sasa hiyo j 1Bora nikae bila cm kuliko kutumia tecno
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Sasa mi sina kitochi, niko na tecno wereva.Hata vitochi pia vinarun akaunti za watu kadhaa
Sasa mi sina kitochi, niko na tecno wereva.
Hii inaitwa pambana tu na hali yako
Yaani pambana na hali yako kabisa.Afadhali shoga. kila mbuzi anakula mpaka kamba inapoishia
Usiku mwema
Thread zingine pasua kichwa, simu haiwezi kuhukumu uwezo Wa mtu.
Sent from my BlackBerry PRIV using JamiiForums app
hamzijui Tecno nyie?Kumbe nawe kama mimi.
Mleta mada unataka kutu upgrade kwa iPhone na Samsung?
Alafu wengi wao ni UVCCM
Swissme
Inategemea mkuu na aina ya samsung s8 ni moto mwingine kwenye betriTecno safi Sana Samsung endeleeni kutembea na power bank
Nachojua tecno wanatumia mediatek vs snapdragon Samsung,, kuna function kama 3D games ndio inaweza kunilimit kucheza, ambazo huwa sina mpango nazo, sasa nispend millioni 2,kwenye kwa functionalities ambazo sina mpango yanini, wakati huku laki 3 inanitoshelezahuman needs unlimited [emoji16] [emoji16]
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Walitarget soko la Afrika tuIla honestly tecno unazikuta Africa hasa east Africa, ukiwa unaish nje hasa ulimwengu wa 1 unaweza dhan tecno ni aina ya gari au sahani..nilipatwa na huu ushamba wkt flani; kumbe ni popular fones in tz