barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ishu sio signature bali ni kama unatumia app ya jamiiforums.JamiiForums naona mmeamua kuwachagulia watumiaji wenu signature automatically.
Tecno imeteka soko la Tanzania, maana kila mtu akipost, chini unaona sent from Tecno...[emoji3]
Ushauri kwa wanaotongoza humu na kusema wanatumia iPhone 7, na wanaponda hizi simu zetu; badilisheni signature. Hii ni baada ya mtu kupost anatoa ajira, alafu mdau mmoja akasema na unatymia Tecno X utawezaje kumlipa mshahara[emoji20] .
Conclusion: doctor wangu ana V8, pamoja na Nokia torch.
-callmeGhost
Ukiona uzi hauchangiwi sana ujue wengi wao wanaona aibu kuumbuka na vitekno vyao ..[emoji3][emoji3]
Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
Thread zingine pasua kichwa, simu haiwezi kuhukumu uwezo Wa mtu.
Sent from my BlackBerry PRIV using JamiiForums app
Alafu wengi wao ni UVCCM
Swissme
Haya afande.[emoji59]Bora nikae bila cm kuliko kutumia tecno
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Tofauti ipo acha kuongea maneno ya mkosaji. Wewe unasimu ina Ram ya 512mb mwenzio ana ya 4gb. Unadhani mnaweza lingana?Simu ni simu kikubwa kupata mahitaji husika kwa wakati wa techno wa samsung wa iphone wote tunaingia jf,twitter mpaka whatsapp shida iko wapi?
Power him who power exerts
hahaha tuone aibu kwani tumeiba jaman tecno zetu ......mtu chake lolUkiona uzi hauchangiwi sana ujue wengi wao wanaona aibu kuumbuka na vitekno vyao ..[emoji3][emoji3]
Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
word napenda tecno coz inakaa na chaji masaaa 16 kuanzia asubuhi hasusani kwa mtu kama mimi ambae shughuli zangu ziko nje ya mji plus sina access ya umeme mda woteKutumia simu ya brandi fulani sio kwamba huna hela au maisha yake ni chini wala usije ukafikiri kutumia iPhone ndio kuwa unayo pesa, huo ni mtazamo hasi wa watanzania na fikra finyu. Pengine ni maamuzi ya mtu binafsi kupenda kutumia simu fulani.
Hivi mimi imetokea natumia simu gan vile?hahaha tuone aibu kwani tumeiba jaman tecno zetu ......mtu chake lol
mtaje mmojaAlafu wengi wao ni UVCCM
Swissme