Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

We mwenyewe hyo umeedit wacha isome real id ya simu yako.... Samsung haiandikwi hivyo ni code tuu

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hahahahah...kwl kabsaaaa

Sent from my GT-I8200 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe, na sisi wenye hizi

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa wanavituko...
tatizo lao wanajifanyaja wamajuu sana
Kuna mzee humu anaact don Mello kamuumbua na N2 yake
Halafu wanaponda Samsung na Iphone et mbaya
Mtu una y3music ya 99999 unasema Samsung mbaya na uwezo wa kuinunua hauna kweli?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nani huyooo
Hahaha mbn hanambii mi kakake

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app


Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Watu mmefikia kutukanana matusi mazito kisa tecno hahahaa kwani kuna ajabu gani kutumia tecno jamani?
Hebu acheni midomo michafu kama vyoo vya sokoni.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Wawaache na TECNO zenu, kwa nn kuingiliana maisha
 
Si kwamba ndo uwezo ulipoishia? ?
Ulijuaje brands nyingine kama Samsung na apple hazikai na charge na hujawahi nunua?
HAYO MENGINE NI MANENO YA MKOSAJI[emoji23] [emoji23]
Unanunua simu ya bei mbaya afu unaibiwa au unapoteza, ilinitokea mwaka jana mwezi wa nne nikiwa chuo Moro, nikaenda sabasaba pale Moro, wadau kwanini wasinibebee simu, niliumia sana, nikakata tamaa ya kununua simu ya bei gali.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Unanunua simu ya bei mbaya afu unaibiwa au unapoteza, ilinitokea mwaka jana mwezi wa nne nikiwa chuo Moro, nikaenda sabasaba pale Moro, wadau kwanini wasinibebee simu, niliumia sana, nikakata tamaa ya kununua simu ya bei gali.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Hayo ni matokeo tu. Si sababu ya kukufanya usimiliki simu ya hadhi
 
Na watumiaji wa jf wengi ni wenye hali za chini.

Na hayo ndio maisha halisi ya watanzania.

Sent from my E6883 using JamiiForums mobile app
 
Ukiona uzi hauchangiwi sana ujue wengi wao wanaona aibu kuumbuka na vitekno vyao ..[emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
Sent from my halotel 6+ using JamiiForums mobile app
 
View attachment 540941

Alitoka siku moja, njaa aliposikia,
Njaa aliposikia, Sungura nakuambia

Sikuile akaenda, Porini kutembelea,
Akayaona matunda, mtini yameenea,
Sungura akayapenda, mtini akasogea,
Mtini akasogea, Sungura nakuambia.

Sungurakarukaruka, lakini hakufikia,
Matunda hakuyashika, mikononi hakutia,
Hakika alisumbuka, nguvuze zikapungua,
Nguvuze zikapungua Sungura nakuambia.

Mtazame hapo juu Sungura amelegea,
Mtazame na miguu, matunda anarukia,
Atafanya sikukuu, matunda akifikia,
Matunda akifikia, Sungura nakuambia.

Karukatena karuka, matunda akarukia,
Mwisho Wave akachoka, kachoka hata mkia,
Penye mti akatoka, pembeni akasogea,
Pembeni akasogea, Sungura nakuambia.

“Sizitakimbichi hizi” Sungura akagumia,
“Naona nafanya kazi, bila faida kujua”,
Yakamtoka machozi matunda akalilia,
Matunda akalilia, Sungura nakuambia.

Siokama hakutaka, sasa nakupasulia,
Matunda aliyataka, ndiyo kisa akalia
Tunajua hakufika, alichoka kurukia,
Alichoka kurukia, Sungura nakuambia.
Nikushukuru sana rub
Hii kitu nlikua nmeitafta sana


[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Na watumiaji wa jf wengi ni wenye hali za chini.

Na hayo ndio maisha halisi ya watanzania.

Sent from my E6883 using JamiiForums mobile app
Kwa sababu wengi ni watanzania[emoji3] [emoji3]

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Hii simu yangu tuko wawili tu jf nzima. Mi na Mshanajr

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Naona unakamtambo kangu

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
JamiiForums naona mmeamua kuwachagulia watumiaji wenu signature automatically.

Tecno imeteka soko la Tanzania, maana kila mtu akipost, chini unaona sent from Tecno...[emoji3]

Ushauri kwa wanaotongoza humu na kusema wanatumia iPhone 7, na wanaponda hizi simu zetu; badilisheni signature. Hii ni baada ya mtu kupost anatoa ajira, alafu mdau mmoja akasema na unatymia Tecno X utawezaje kumlipa mshahara[emoji20] .

Conclusion: doctor wangu ana V8, pamoja na Nokia torch.


-callmeGhost
Ukiona hvyo uwe makini na post za jf maana ni rahisi sana kukutrack
 
Back
Top Bottom