Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

Watu wakorofi sana aiseee!!!

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Hii simu yangu tuko wawili tu jf nzima. Mi na Mshanajr

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Kabila lako sawa na la Ruge wa escrow naaamini[emoji3]

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
We mwenyewe hyo umeedit wacha isome real id ya simu yako.... Samsung haiandikwi hivyo ni code tuu

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hahaa bora umemwambia[emoji12] [emoji12]

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
View attachment 540941

Alitoka siku moja, njaa aliposikia,
Njaa aliposikia, Sungura nakuambia

Sikuile akaenda, Porini kutembelea,
Akayaona matunda, mtini yameenea,
Sungura akayapenda, mtini akasogea,
Mtini akasogea, Sungura nakuambia.

Sungurakarukaruka, lakini hakufikia,
Matunda hakuyashika, mikononi hakutia,
Hakika alisumbuka, nguvuze zikapungua,
Nguvuze zikapungua Sungura nakuambia.

Mtazame hapo juu Sungura amelegea,
Mtazame na miguu, matunda anarukia,
Atafanya sikukuu, matunda akifikia,
Matunda akifikia, Sungura nakuambia.

Karukatena karuka, matunda akarukia,
Mwisho Wave akachoka, kachoka hata mkia,
Penye mti akatoka, pembeni akasogea,
Pembeni akasogea, Sungura nakuambia.

“Sizitakimbichi hizi” Sungura akagumia,
“Naona nafanya kazi, bila faida kujua”,
Yakamtoka machozi matunda akalilia,
Matunda akalilia, Sungura nakuambia.

Siokama hakutaka, sasa nakupasulia,
Matunda aliyataka, ndiyo kisa akalia
Tunajua hakufika, alichoka kurukia,
Alichoka kurukia, Sungura nakuambia.
hakuna kabisa asiyependa kutumia kizuri wengi wanapenda sana watumie simu bora lakini kwa sababi uwezo hawana wanaishia kununua ite na tecno ila kiuhalisia wanatamani simu bora kama samsung iphone n. k.

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli kabisa ndugu, na wengi wana dreamphone kutoka samsung na iphone ambayo siku wakizichanga za kutosha watanunua tu
 
Tena kwa raha zetu hatukuomba hatukuhongwa wengine wanajidaia simu za bei wakati uwezo wa kuinunua hana ukiuliza kahongwa hahahaaa

Kumbe wewe huwa unagawa bure bure??
 
Hahaha mbona kuna tecno very class kuliko samsung

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
usifananishe samsung na vitu vya kijinga ww tecno ni simu au mfano wa simu afu na ww unaeongea hivi unatumia samsung kweli????????
 
ukitaka uamini tecno sio simu bali mfano wa simu ingia GSMarena afu search tecno kama itakuja
 
Ni kweli kabisa ndugu, na wengi wana dreamphone kutoka samsung na iphone ambayo siku wakizichanga za kutosha watanunua tu
Yangu haina jina ila ni kali balaa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom