Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa bora umemwambia[emoji12] [emoji12]We mwenyewe hyo umeedit wacha isome real id ya simu yako.... Samsung haiandikwi hivyo ni code tuu
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
hakuna kabisa asiyependa kutumia kizuri wengi wanapenda sana watumie simu bora lakini kwa sababi uwezo hawana wanaishia kununua ite na tecno ila kiuhalisia wanatamani simu bora kama samsung iphone n. k.View attachment 540941
Alitoka siku moja, njaa aliposikia,
Njaa aliposikia, Sungura nakuambia
Sikuile akaenda, Porini kutembelea,
Akayaona matunda, mtini yameenea,
Sungura akayapenda, mtini akasogea,
Mtini akasogea, Sungura nakuambia.
Sungurakarukaruka, lakini hakufikia,
Matunda hakuyashika, mikononi hakutia,
Hakika alisumbuka, nguvuze zikapungua,
Nguvuze zikapungua Sungura nakuambia.
Mtazame hapo juu Sungura amelegea,
Mtazame na miguu, matunda anarukia,
Atafanya sikukuu, matunda akifikia,
Matunda akifikia, Sungura nakuambia.
Karukatena karuka, matunda akarukia,
Mwisho Wave akachoka, kachoka hata mkia,
Penye mti akatoka, pembeni akasogea,
Pembeni akasogea, Sungura nakuambia.
Sizitakimbichi hizi Sungura akagumia,
Naona nafanya kazi, bila faida kujua,
Yakamtoka machozi matunda akalilia,
Matunda akalilia, Sungura nakuambia.
Siokama hakutaka, sasa nakupasulia,
Matunda aliyataka, ndiyo kisa akalia
Tunajua hakufika, alichoka kurukia,
Alichoka kurukia, Sungura nakuambia.
hakuna kabisa asiyependa kutumia kizuri wengi wanapenda sana watumie simu bora lakini kwa sababi uwezo hawana wanaishia kununua ite na tecno ila kiuhalisia wanatamani simu bora kama samsung iphone n. k.
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Tena kwa raha zetu hatukuomba hatukuhongwa wengine wanajidaia simu za bei wakati uwezo wa kuinunua hana ukiuliza kahongwa hahahaaa
Sizuii mawazo na fikra zako.Kumbe wewe huwa unagawa bure bure??
usifananishe samsung na vitu vya kijinga ww tecno ni simu au mfano wa simu afu na ww unaeongea hivi unatumia samsung kweli????????Hahaha mbona kuna tecno very class kuliko samsung
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Yangu haina jina ila ni kali balaa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ni kweli kabisa ndugu, na wengi wana dreamphone kutoka samsung na iphone ambayo siku wakizichanga za kutosha watanunua tu
Yangu haina jina ila ni kali balaa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Njoo uioneMh! hata bia zina jina mkuu
Njoo uione