Friday Malafyale
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,811
- 2,916
watu mna maneno mmhau watakua ni ndugu [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu mna maneno mmhau watakua ni ndugu [emoji23]
Aaaah Mim siwezagi kubadilisha magari ndo maan nimeng'ang'ania gari hilihiliAkikuacha panda lingine magari mengi
eb tujibu baswatu mna maneno mmh
ngoja nikuelekeze tuu, kwa kabila la kwetu Malafyale ni Mfalme sawa eeeh. So kuna jamaa anaitwa Malafyale sasa kujitofautisha nikajiita Friday Malafyale. Ila kumbuka wote ni Malafyale difference is Friday sawa eeeh na mfalme kwa jamii ya kwetu hatujawahi kuwa na malafyale wa kike wote wa kiume so mimi ni Male hureee.... Mugonile ndaga fijooo utwa mwa kyela mweeeeheb tujibu bas
tununu malafyale nimekuelewangoja nikuelekeze tuu, kwa kabila la kwetu Malafyale ni Mfalme sawa eeeh. So kuna jamaa anaitwa Malafyale sasa kujitofautisha nikajiita Friday Malafyale. Ila kumbuka wote ni Malafyale difference is Friday sawa eeeh na mfalme kwa jamii ya kwetu hatujawahi kuwa na malafyale wa kike wote wa kiume so mimi ni Male hureee.... Mugonile ndaga fijooo utwa mwa kyela mweeeeh
shunieAisee Jamii Forum kuna watu wenye majina mabaya (Fake ID), yaani ukiangalia jina ngumu kama mizizi ya dawa za kienyeji. Mengine majina yana kiima na kiarifu.
>> KABHILABHIGHAMBO
>> CHIKIRA MTABARI
>> Malafyale
>> Mndali ndanyelakakomu
>> Otorong'ong'o
>> Bujibuji
>> nanyupu
<>> Numbisa
Yaani majina mengine bwana tabu tupu!!
Hebu ongezea yakwako unayoyafahamu.........
NB. Hapa ni Chitchat . Povu mwisho la 50
Shemela mekumissBila shaka hawa ni ndugu
Daaaa hilo la kwanza na la nne nmejitahidi kuyasoma ila limenipa taabuAisee Jamii Forum kuna watu wenye majina mabaya (Fake ID), yaani ukiangalia jina ngumu kama mizizi ya dawa za kienyeji. Mengine majina yana kiima na kiarifu.
>> KABHILABHIGHAMBO
>> CHIKIRA MTABARI
>> Malafyale
>> Mndali ndanyelakakomu
>> Otorong'ong'o
>> Bujibuji
>> nanyupu
<>> Numbisa
Yaani majina mengine bwana tabu tupu!!
Hebu ongezea yakwako unayoyafahamu.........
NB. Hapa ni Chitchat . Povu mwisho la 50
Jina langu baya [emoji23][emoji23][emoji23]shunie
miss natafuta
jijayetu
yumbu
lako lenyewe bayaAisee Jamii Forum kuna watu wenye majina mabaya (Fake ID), yaani ukiangalia jina ngumu kama mizizi ya dawa za kienyeji. Mengine majina yana kiima na kiarifu.
>> KABHILABHIGHAMBO
>> CHIKIRA MTABARI
>> Malafyale
>> Mndali ndanyelakakomu
>> Otorong'ong'o
>> Bujibuji
>> nanyupu
<>> Numbisa
Yaani majina mengine bwana tabu tupu!!
Hebu ongezea yakwako unayoyafahamu.........
NB. Hapa ni Chitchat . Povu mwisho la 50
Ibilisi?! Atakuwa mtu wa Tanga huyo maana Ibilisi ni a.k.a ya Shetani na hilo ni jina la kisambaakuna mtu humu anaitwa Ibilisi
Ila mkuu nawe jina lako hill mmmhIbilisi?! Atakuwa mtu wa Tanga huyo maana Ibilisi ni a.k.a ya Shetani na hilo ni jina la kisambaa
Shemtoi
Shehoza
Shebarua
Shetani
Shekiondo
Shelukindo
Shekoloa
Shemtoro
woooote hawa 'wagosi', wasambaa wake zao.