Members wenye majina mabaya JF taja unaowafahamu

eb tujibu bas
ngoja nikuelekeze tuu, kwa kabila la kwetu Malafyale ni Mfalme sawa eeeh. So kuna jamaa anaitwa Malafyale sasa kujitofautisha nikajiita Friday Malafyale. Ila kumbuka wote ni Malafyale difference is Friday sawa eeeh na mfalme kwa jamii ya kwetu hatujawahi kuwa na malafyale wa kike wote wa kiume so mimi ni Male hureee.... Mugonile ndaga fijooo utwa mwa kyela mweeeeh
 
tununu malafyale nimekuelewa
 
Daaaa hilo la kwanza na la nne nmejitahidi kuyasoma ila limenipa taabu
 
kuna mtu humu anaitwa Ibilisi
Ibilisi?! Atakuwa mtu wa Tanga huyo maana Ibilisi ni a.k.a ya Shetani na hilo ni jina la kisambaa
Shemtoi
Shehoza
Shebarua
Shetani
Shekiondo
Shelukindo
Shekoloa
Shemtoro
woooote hawa 'wagosi', wasambaa wake zao.
 
Ibilisi?! Atakuwa mtu wa Tanga huyo maana Ibilisi ni a.k.a ya Shetani na hilo ni jina la kisambaa
Shemtoi
Shehoza
Shebarua
Shetani
Shekiondo
Shelukindo
Shekoloa
Shemtoro
woooote hawa 'wagosi', wasambaa wake zao.
Ila mkuu nawe jina lako hill mmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…