Members wenye majina mabaya JF taja unaowafahamu

Members wenye majina mabaya JF taja unaowafahamu

939d62f234bd11a3bf7465c2e179a159.jpg
 
Hayo ndio majina yetu ya asili na hayo unayoona ww ni mazuri tunaiga tu kwa wazungu na waarabu
Na mm jina LA kinyumbani naitwa "mwanduga Kimasa"
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nkolandoto hospital! Sitapasahau! Ndugu yangu alitibiwa kidonda sugu pale. Kidonda cha miaka mitatu kikapona chini ya mwezi. Heshima kwako mkuu. Nagalumba noi!
 
Nkolandoto hospital! Sitapasahau! Ndugu yangu alitibiwa kidonda sugu pale. Kidonda cha miaka mitatu kikapona chini ya mwezi. Heshima kwako mkuu. Nagalumba noi!
Karibu sana tunatibu mazagazaga yote hiiiii

Enzi hizo kina kiberiti, mwandu, magile na wengine ilikuwa ng'aaaa
 
Aisee Jamii Forum kuna watu wenye majina mabaya (Fake ID), yaani ukiangalia jina ngumu kama mizizi ya dawa za kienyeji. Mengine majina yana kiima na kiarifu.

>> KABHILABHIGHAMBO
>> CHIKIRA MTABARI
>> Malafyale
>> Mndali ndanyelakakomu
>> Otorong'ong'o
>> Bujibuji
>> nanyupu
<>> Numbisa
Yaani majina mengine bwana tabu tupu!!
Hebu ongezea yakwako unayoyafahamu.........
NB. Hapa ni Chitchat . Povu mwisho la 50
NB: hapa ni chitchat [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji111]
 
Back
Top Bottom