Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Wako siriasiUliyotaja yote ni afadhali, kuna haya sijui huwa wako sirious nayo-
-'dume suruali'
-'mchovu wa fikra'
[emoji1] [emoji1] nani Alikudanganya?!Katika majina mazuri, lakwangu ni mojawapo
Acha mikwara mkuuOle wake nione mtu amenitaja
[emoji1] [emoji1] [emoji1] umempatiaa>>Ndege john
>>Faru john
>>Jesca John
Hawa ni ndugu wa baba mmoja
Ohoooooo.....[emoji13] [emoji13]Ndo umekuja
Mr. hili jina ni la kigiriki sasa ni vigumu sana kwa wabongo kulielewa muulize LOTH HEMAKABHILABHIGHAMBO
Nkolandoto hospital! Sitapasahau! Ndugu yangu alitibiwa kidonda sugu pale. Kidonda cha miaka mitatu kikapona chini ya mwezi. Heshima kwako mkuu. Nagalumba noi![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Karibu sana tunatibu mazagazaga yote hiiiiiNkolandoto hospital! Sitapasahau! Ndugu yangu alitibiwa kidonda sugu pale. Kidonda cha miaka mitatu kikapona chini ya mwezi. Heshima kwako mkuu. Nagalumba noi!
NB: hapa ni chitchat [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji111]Aisee Jamii Forum kuna watu wenye majina mabaya (Fake ID), yaani ukiangalia jina ngumu kama mizizi ya dawa za kienyeji. Mengine majina yana kiima na kiarifu.
>> KABHILABHIGHAMBO
>> CHIKIRA MTABARI
>> Malafyale
>> Mndali ndanyelakakomu
>> Otorong'ong'o
>> Bujibuji
>> nanyupu
<>> Numbisa
Yaani majina mengine bwana tabu tupu!!
Hebu ongezea yakwako unayoyafahamu.........
NB. Hapa ni Chitchat . Povu mwisho la 50
Lako tam[emoji85]ngoja waje wenye majina yao
[emoji3] [emoji31] [emoji23] cc: MgibeonMkuu umetoka chimbo nn maana mida ya wanga hii