Members wenzangu niliowatapeli humu JF nisameheni leo natubu

Ili dhambi ifutike rudisha mali na pesa za watu ulizodhulum
 
AiseeπŸ˜€
 
Ndo wewe ulinitapeli elf 5 nikalala njaa?

OK nimekusamehe mkuu lakin naomba tuonane nikuongezee elfu 20 lakini sharti tuonane nikupe hiyo hela mkononi maana we ni muungwana sana
 
πŸ˜‚ Dalali nafsi imekusuta kweli au ni mbinu nyingine hiz unafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…