Members wenzangu niliowatapeli humu JF nisameheni leo natubu

Mmmh mwongo mtu atoe pesa zake kisa kuunganishiwa malaya? Hapana
 
Upo sahihi. Hata kama sio wewe ila ujumbe umefika. Humu JF kuna akaunti nyingi zenye ID za kike ila ukweli ni midume mbaya zaidi wengine ni mashoga.

Ila kuna wanaume wajinga wanashoboka kwenda inbox kuomba namba na kuhonga pasipo kujua anamtumia hela tapeli.
 
Watu hawaamin lakin ukweli upo hivyo na hata ikitokea tena mtu anatumia mbinu hii hii bado hela atapata.
 
Back
Top Bottom