Mtani wa Taifa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2023
- 953
- 3,318
Ngoja waje kukupa muongozo 😅😅Nahisi kale kameseji huwa amekatunza kwenye draft ni mwendo wa kubandua na kubandika[emoji23][emoji23]
Watu hawaamin lakin ukweli upo hivyo na hata ikitokea tena mtu anatumia mbinu hii hii bado hela atapata.Upo sahihi. Hata kama sio wewe ila ujumbe umefika. Humu JF kuna akaunti nyingi zenye ID za kike ila ukweli ni midume mbaya zaidi wengine ni mashoga.
Ila kuna wanaume wajinga wanashoboka kwenda inbox kuomba namba na kuhonga pasipo kujua anamtumia hela tapeli.