Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
sasa anajificha nini? ajitambulishe kama malisa tumpe heshima stahikiNi mmoja ya watu ambao wapo CCM lakini wana akili. Huwa ni mara chache sana hawa watu kuwa CCM na wakaendelea kutumia akili.
Tumsupport huyu jamaa @britannica kwa kuonesha mapenzi makubwa kwa nchi yake. Na tumtambue kwa kumfollow na kumvika nishani ya Uzalendo. Siyo CC Majizi tunavaa skafu na tai huku ni mijambazi mikubwa.
Hakuna kitu hapo hilo jamaa la hovyo sana!Ni mmoja ya watu ambao wapo CCM lakini wana akili. Huwa ni mara chache sana hawa watu kuwa CCM na wakaendelea kutumia akili.
Tumsupport huyu jamaa @britannica kwa kuonesha mapenzi makubwa kwa nchi yake. Na tumtambue kwa kumfollow na kumvika nishani ya Uzalendo. Siyo CC Majizi tunavaa skafu na tai huku ni mijambazi mikubwa.
Huyu ni slowslowNi Britanica au Polepole?
sasaanajificha nini? ajitambulishe kama malisa tumpe heshima stahiki
ThibitishaNi mmoja ya watu ambao wapo CCM lakini wana akili. Huwa ni mara chache sana hawa watu kuwa CCM na wakaendelea kutumia akili.
Tumsupport huyu jamaa @britannica kwa kuonesha mapenzi makubwa kwa nchi yake. Na tumtambue kwa kumfollow na kumvika nishani ya Uzalendo. Siyo CC Majizi tunavaa skafu na tai huku ni mijambazi mikubwa.
Nini?Thibitisha
Hicho ulichokiandikaNini?
Kipi?Hicho ulichokiandika
naunga mkono hoja,tenaNi mmoja ya watu ambao wapo CCM lakini wana akili. Huwa ni mara chache sana hawa watu kuwa CCM na wakaendelea kutumia akili.
Tumsupport huyu jamaa britanicca kwa kuonesha mapenzi makubwa kwa nchi yake. Na tumtambue kwa kumfollow na kumvika nishani ya Uzalendo.
Kwanini..Hakuna kitu hapo hilo jamaa la hovyo sana!
Bro unachochea kwa kuni mbichinaunga mkono hoja,Alhamisi tunampa maua yake!。
P
Nataka kusapoti lkn mkono unakataa mh 🤔 🤔 ngoja kwanza 28 ifike 🚶🚶🚶🚶🚶Ni mmoja ya watu ambao wapo CCM lakini wana akili. Huwa ni mara chache sana hawa watu kuwa CCM na wakaendelea kutumia akili.
Tumsupport huyu jamaa britanicca kwa kuonesha mapenzi makubwa kwa nchi yake. Na tumtambue kwa kumfollow na kumvika nishani ya Uzalendo. Siyo CC Majizi tunavaa skafu na tai huku ni mijambazi mikubwa.
Ndiyo alisema makonda amekata moto kwa kupewa Sumu? Ni muongo muongo tu huyo jamaaHakuna kitu hapo hilo jamaa la hovyo sana!