Members wenzangu tumpe heshima sana huyu Britannica ni hazina kwa Taifa letu

Members wenzangu tumpe heshima sana huyu Britannica ni hazina kwa Taifa letu

Ni mmoja ya watu ambao wapo CCM lakini wana akili. Huwa ni mara chache sana hawa watu kuwa CCM na wakaendelea kutumia akili.

Tumsupport huyu jamaa britanicca kwa kuonesha mapenzi makubwa kwa nchi yake. Na tumtambue kwa kumfollow na kumvika nishani ya Uzalendo. Siyo CC Majizi tunavaa skafu na tai huku ni mijambazi mikubwa.
Sawa. Ngoja tusubiri.
 
Mwambie wakati nashuka toka mlima kilimanjaro toka juu ya kilele cha mlima huu hawe maeneo ,nitampa baraka na wenda atakishukuru kizazi changu chote , nimepewa kazi ngumu sana na Mungu wangu , ila najua atanivusha , Mungu hawezi mtelekeza mja wake , akinichukua katika upako acha iwe , ila najua yu mwaminifu kwangu.
 
naunga mkono hoja,tena
ni mzalendo wa kweli na Pan Africanist kindakindaki wa nchi hii,
alikuwa anakijua kitoto fulani cha Banyamulenge,kikaletwa Tanzania kikiwa na umri wa miaka 5, kikapewa jina la Kihaya, kisha kikaandikishwa shule kwa jina la kabila jingine,kikawa Kitanzania!kikaja kuwa mtu mkubwa, Burita akakakitunzia siri yake mpaka leo, mpaka kesho,watu wakiamini ni Mtanzania kumbe sio! Data zote za Wanyamulenge wanaojifanya ni Watanzania anazo,ila amewahifadhi ili asiwaharibie maisha!,huu ni uzalendo mkubwa sana kuwaacha masikini wa jirani zetu kuneemekea Tanzania。

Alhamisi tunampa maua yake!

P
Kejeli moja ya viwango vya sgr
 
amwage kwanza mchele wenyewe , kuku wapekue
 
Back
Top Bottom