Conte Code
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 417
- 503
Na bomu liwe bomu kweli kweli ,lisiwe kama lile la Mzee wa kuwafufua wafu ....Ni mapema sana kufanya hivyo. Alipue kwanza hilo bomu lake la tarehe 28 ndiyo atapewa hiyo heshima.
Na bomu liwe bomu kweli kweli ,lisiwe kama lile la Mzee wa kuwafufua wafu ....Ni mapema sana kufanya hivyo. Alipue kwanza hilo bomu lake la tarehe 28 ndiyo atapewa hiyo heshima.
Amefanya nini kwani?Ni mmoja ya watu ambao wapo CCM lakini wana akili. Huwa ni mara chache sana hawa watu kuwa CCM na wakaendelea kutumia akili.
Tumsupport huyu jamaa britanicca kwa kuonesha mapenzi makubwa kwa nchi yake. Na tumtambue kwa kumfollow na kumvika nishani ya Uzalendo. Siyo CC Majizi tunavaa skafu na tai huku ni mijambazi mikubwa.
aina ya bomu lake kesho then tutafungua code chap..Sio polepole..
Britanica ni Muhaya wala sio slow slowNi Britanica au Polepole?
HahahahaNi mapema sana kufanya hivyo. Alipue kwanza hilo bomu lake la tarehe 28 ndiyo atapewa hiyo heshima.
Kashauriwa aweke kote aliko iwe X au InstagramAkiweka uzi screenshot kabla ya kusoma maana zinafutwa haraka