Members wenzangu tumpe heshima sana huyu Britannica ni hazina kwa Taifa letu

Sawa. Ngoja tusubiri.
 
Mwambie wakati nashuka toka mlima kilimanjaro toka juu ya kilele cha mlima huu hawe maeneo ,nitampa baraka na wenda atakishukuru kizazi changu chote , nimepewa kazi ngumu sana na Mungu wangu , ila najua atanivusha , Mungu hawezi mtelekeza mja wake , akinichukua katika upako acha iwe , ila najua yu mwaminifu kwangu.
 
sasaanajificha nini? ajitambulishe kama malisa tumpe heshima stahiki
Ajitambulishe ? Hana jipya , huyu ni hao hao walio puuzwa na watanzania Sasa wanakuja kwa mavazi mengine.
 
Kejeli moja ya viwango vya sgr
 
amwage kwanza mchele wenyewe , kuku wapekue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…