Members wenzangu tumpe heshima sana huyu Britannica ni hazina kwa Taifa letu

Amefanya nini kwani?
 
Britacca ni uncle wangu kabisa na leo nilikuwa nampangilia vizuri uzi kwa ajili ya kesho kama kuna maneno amechapia mi ndo nina ya edit vizuri, tutegemee kubaki midomo wazi maana hata mimi mjomba baada ya kumaliza kazi nilizimia ndo nazinduka bomu ni zito sana
 
Asije tu kutuletea pigo za Gwajima tunasubiri kwa hamu arushe bomu hlf anakuja kutuhadaa na baruti.

Maua ya bro Taniccah nimeshayaandaa ili simpi mpaka nihakikishe karusha kombora la maana🎀🥀💐
 
Ni mapema sana kufanya hivyo. Alipue kwanza hilo bomu lake la tarehe 28 ndiyo atapewa hiyo heshima.
Hahahaha
Hv zile nyuzi zake ,za July July , safari ya kisiwa na ya juzi ya Delta Gold India Siera ,iliishia wapi ? Ingawa jamaa Mkali ktk mada zake
 
Huyu jamaa nahisi ni the same na person na yule wa uzi dark days.Anajua vitu vingi na siri nyingi. Pia awe makini sana sana
 
Walioscreenshort nyuzi zake tunaomba mshare humu jmn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…