Meme nyingi kwenye Mitandao ya Kijamii zinaandikwa na watu wasiojitambua kimaisha

Meme nyingi kwenye Mitandao ya Kijamii zinaandikwa na watu wasiojitambua kimaisha

Sijakuelewa unaposema MEME.
Au una maana huyu mdada anaposema Mimi kama mimi?
 
Hakuna jambo ninaloliheshimu kama kutojihusisha na mambo yasininihusu....kama jambo halikufurahishi wewe yupo anayefurahia ..ifikie hatua uone kwamba huwezi kupanga mtu fulani apende utakavyo(M.Y.O.B)
 
IMG-20241019-WA0097.jpg
 
Back
Top Bottom