Memento database

Memento database

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Wadau naomba kupata hiki ninachofikiria, nahitaji kuwa na database yenye uwezo wa kuona kila mtu ambaye nimemhifadhi kwenye hiyo database, ionyeshs jina lake, anwani yake na picha yake.

kifupi nahitaji kuona taarifa zake kwa ujumla ninapo click jina lake au kuserch kwa namba itokee kama vile TRA na Benki wanavyofanya sijui nitakuwa nimeeleweka.

Mimi ni Kartibu wa Kanisa na nina majina zaidi ya 1000 ambayo ukianza kutafuta kwa ku scroll inachukua muda mrefu
 
Hiyo inawezekana kwa kutumia MS Access. Unaweza anza na zile templates walizonazo humo. Ila kama huna idea kabisa kuhusu masuala ya database basi jifunze kwanza kupitia google.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Wadau naomba kupata hiki ninachofikiria, nahitaji kuwa na database yenye uwezo wa kuona kila mtu ambaye nimemhifadhi kwenye hiyo database, ionyeshs jina lake, anwani yake na picha yake. kifupi nahitaji kuona taarifa zake kwa ujumla ninapo click jina lake au kuserch kwa namba itokee kama vile TRA na Benki wanavyofanya sijui nitakuwa nimeeleweka.
Mimi ni Kartibu wa Kanisa na nina majina zaidi ya 1000 ambayo ukianza kutafuta kwa ku scroll inachukua muda mrefu
Ni PM

Sent from my cupboard using mug
 
Wadau naomba kupata hiki ninachofikiria, nahitaji kuwa na database yenye uwezo wa kuona kila mtu ambaye nimemhifadhi kwenye hiyo database, ionyeshs jina lake, anwani yake na picha yake.

kifupi nahitaji kuona taarifa zake kwa ujumla ninapo click jina lake au kuserch kwa namba itokee kama vile TRA na Benki wanavyofanya sijui nitakuwa nimeeleweka.

Mimi ni Kartibu wa Kanisa na nina majina zaidi ya 1000 ambayo ukianza kutafuta kwa ku scroll inachukua muda mrefu

Inawezekana ila kama mdau alivyosema kama huna idea na database itakuwa ngumu. Hii system ni simple kwa mtu anayeelewa database na au programing kiasi.
 
Wadau naomba kupata hiki ninachofikiria, nahitaji kuwa na database yenye uwezo wa kuona kila mtu ambaye nimemhifadhi kwenye hiyo database, ionyeshs jina lake, anwani yake na picha yake.

kifupi nahitaji kuona taarifa zake kwa ujumla ninapo click jina lake au kuserch kwa namba itokee kama vile TRA na Benki wanavyofanya sijui nitakuwa nimeeleweka.

Mimi ni Kartibu wa Kanisa na nina majina zaidi ya 1000 ambayo ukianza kutafuta kwa ku scroll inachukua muda mrefu
Kama hautaki MS ACCESS nipe 50000/= ya chai then nikufanyie huu muujiza within two days,

Technology to be used
Bootstrap, PHP/Laravel with Ajax HAPPY NEW YEAR + INSTRUCTIONS ON HOW TO USE IT.

OTHERWISE GO TO CLASS
 
Back
Top Bottom