Men beaten by wives in TZ

That's forbidden in African culture, Sky can't be exchanged for anything LoL
 
Kupanda punda sio nguvu za kiume bali nguvu za kimapepo....

Wanawake wa Rombo walikuja kuwafanyia kile Lucy Kibaki alimfanyia Mwai Kibaki...

Kama unabisha nenda Rombo uone idadi ya vibarua wa kabila la "wakamba" wanavyofua vyupi vya wanaume wa Rombo. Wanashikishwa ukuta huwezi amini...
 
Tunadundwa kila siku sijaona mwanaume aliyehukumiwa. Mpigwe tu na nyie. Yaani akitokea mwanamama akaweza kumdunda mume huwa nafurahi sana.
Sa tukidundwa, tukawa walemavu, utamu utaupata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…