Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That's forbidden in African culture, Sky can't be exchanged for anything LoL
Kupanda punda sio nguvu za kiume bali nguvu za kimapepo....Sijaelewa issue yenu nini, maana mumesema hatuna nguvu za kiume eti ndio sababu tunapanda punda na kuacha wake zetu, mara tunanyimwa na wake zetu.
Nimewaambia mzuka wa kumpanda punda ina maana una nguvu za kiajabu, sio mtu wa kawaida. Ama umesahau wake zenu kutokea Rombo walikua wanapanga foleni kuja Kenya kupokea huduma zetu.
Tunadundwa kila siku sijaona mwanaume aliyehukumiwa. Mpigwe tu na nyie. Yaani akitokea mwanamama akaweza kumdunda mume huwa nafurahi sana.Unajua hukumu ya Kesi ya kushambulia?
Sa tukidundwa, tukawa walemavu, utamu utaupata wapi?Tunadundwa kila siku sijaona mwanaume aliyehukumiwa. Mpigwe tu na nyie. Yaani akitokea mwanamama akaweza kumdunda mume huwa nafurahi sana.
Viben10Sa tukidundwa, tukawa walemavu, utamu utaupata wapi?
Utafungwa na WAMAViben10