Men Code

kumwambia mwanaume cha kufanya pia ni kuvunja code za kiume...UTAJUA HUJUI
 
Cha msingi code 7 tuu the rest zitajisettle zenyewe, niamini mimi
 
Mie mwamba wa wapi?🀣🀣
Nazungumza uhalisia
Mwamba, sisi wala mihogo kwa maji tunapiga show hujawahi kuona. Uwezo wetu dhidi ya wala kiepe, burger na mapilau pilau ni kama mbingu na ardhi.

Sisi ndo tunaowaheshimisha wanaume wengine. Mtushukuru sana.
 
Kwahyo tuskize kina dizasta vina mwanzo mwisho????
 
Men Code: Usitembee na beki tatu (house girl) hapo unakuwa umevunja Men code
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa mkuu
Dj maphorisa tunamuacha amsikilize nani
 
16 kwenye daladala usiketi wewe ni kusimama tu
Mwanaume usipende kukaa kaa ovyo mwishowe utakalia

Hata wenye magari binafsi na marubani

Endesha huku umesimama eboo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…