Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumwambia mwanaume cha kufanya pia ni kuvunja code za kiume...UTAJUA HUJUIHiz ni code zitazokufanya usifeli popote
1.Hakikisha Unapiga pipe kwelikweli
Kama uko 18-50 jitahidi uwe unapga pipe au uwe na mahusiano valid.
Kama hupigi pipe Heshima sahau utaonekana ni pisi kali (Hapa si lazima uwe malaya)
2.Jitahidi miziki yako iwe Hip pop au nyimbo za jeshi
Achana na amapiano,sijui kina zuchu au zile nyimbo za taratibu hzi zote ni 🚩
3.Jitahidi usije kulia Hadharani hata kama Umeumia vipi
Men do not cry,,, nyie wa mahisia ni 🚩
Sijui umemkumbuka marehemu mama yako unalia we n 🚩
Epusha mazoea ya kuonesha hisia too much
4.Angalia movie za kijeshi na mieleka
Usipende movie za kikorea ni 🚩
Wale wa jua kali🚩
mwanaume unafuatilia sultan🚩
5.Usioneshe affection kwa mwanaume mwenzio hata kama ni kaka au baba yako
-sijui i love you dady🚩 mwanaume anasema baba nimekubali
-sijui i love mom🚩
Mara i miss you kwa mwanaume mwemzio hata kam n siblings🚩
Text za mambo🚩
Sijui una body zuri🚩
6. Usipige Nyeto,sijui video sex,wala kuangalia porn au picha za utupu.
Hapa unaharibu ubongo na nguvu za kiume hivo unakua ume vunja code no 1 ( ya Mwanaupe piga pipe)
7.Tafuta Hela zako/ Usipokee cha bure kama hujafanya kazu au kumsaidia mtu.Hata bia ndio mwanzo wa kupigwa pipe kupenda mtunguo
Wakumbushe vijana wako wa kiume!!kumwambia mwanaume cha kufanya pia ni kuvunja code za kiume...UTAJUA HUJUI
Cha msingi code 7 tuu the rest zitajisettle zenyewe, niamini mimiHiz ni code zitazokufanya usifeli popote
1.Hakikisha Unapiga pipe kwelikweli
Kama uko 18-50 jitahidi uwe unapga pipe au uwe na mahusiano valid.
Kama hupigi pipe Heshima sahau utaonekana ni pisi kali (Hapa si lazima uwe malaya)
2.Jitahidi miziki yako iwe Hip pop au nyimbo za jeshi
Achana na amapiano,sijui kina zuchu au zile nyimbo za taratibu hzi zote ni 🚩
3.Jitahidi usije kulia Hadharani hata kama Umeumia vipi
Men do not cry,,, nyie wa mahisia ni 🚩
Sijui umemkumbuka marehemu mama yako unalia we n 🚩
Epusha mazoea ya kuonesha hisia too much
4.Angalia movie za kijeshi na mieleka
Usipende movie za kikorea ni 🚩
Wale wa jua kali🚩
mwanaume unafuatilia sultan🚩
5.Usioneshe affection kwa mwanaume mwenzio hata kama ni kaka au baba yako
-sijui i love you dady🚩 mwanaume anasema baba nimekubali
-sijui i love mom🚩
Mara i miss you kwa mwanaume mwemzio hata kam n siblings🚩
Text za mambo🚩
Sijui una body zuri🚩
6. Usipige Nyeto,sijui video sex,wala kuangalia porn au picha za utupu.
Hapa unaharibu ubongo na nguvu za kiume hivo unakua ume vunja code no 1 ( ya Mwanaupe piga pipe)
7.Tafuta Hela zako/ Usipokee cha bure kama hujafanya kazu au kumsaidia mtu.Hata bia ndio mwanzo wa kupigwa pipe kupenda mtunguo
kabdadili jinsia
Mwamba, sisi wala mihogo kwa maji tunapiga show hujawahi kuona. Uwezo wetu dhidi ya wala kiepe, burger na mapilau pilau ni kama mbingu na ardhi.
Sisi ndo tunaowaheshimisha wanaume wengine. Mtushukuru sana.
Men Code: Usitembee na beki tatu (house girl) hapo unakuwa umevunja Men codeHiz ni code zitazokufanya usifeli popote
1. Hakikisha Unapiga pipe kwelikweli
Kama uko 18-50 jitahidi uwe unapga pipe au uwe na mahusiano valid. Kama hupigi pipe Heshima sahau utaonekana ni pisi kali (Hapa si lazima uwe malaya)
2. Jitahidi miziki yako iwe Hip pop au nyimbo za jeshi
Achana na amapiano,sijui kina zuchu au zile nyimbo za taratibu hzi zote ni 🚩
3. Jitahidi usije kulia Hadharani hata kama Umeumia vipi
Men do not cry, nyie wa mahisia ni 🚩
Sijui umemkumbuka marehemu mama yako unalia we n 🚩
Epusha mazoea ya kuonesha hisia too much
4. Angalia movie za kijeshi na mieleka
Usipende movie za kikorea ni 🚩
Wale wa jua kali🚩
mwanaume unafuatilia sultan🚩
5. Usioneshe affection kwa mwanaume mwenzio hata kama ni kaka au baba yako
Mara i miss you kwa mwanaume mwemzio hata kam n siblings🚩
- Sijui i love you dady🚩 mwanaume anasema baba nimekubali
- Sijui i love mom🚩
Text za mambo🚩
Sijui una body zuri🚩
6. Usipige Nyeto,sijui video sex,wala kuangalia porn au picha za utupu
Hapa unaharibu ubongo na nguvu za kiume hivo unakua ume vunja code no 1 ( ya Mwanaupe piga pipe)
7. Tafuta Hela zako/ Usipokee cha bure kama hujafanya kazu au kumsaidia mtu.Hata bia ndio mwanzo wa kupigwa pipe kupenda mtunguo
[emoji16][emoji16]8. Usitumie iPhone
Wanafanyaje bestHujakutana na wanaume wa kinondoni ww
Tumia kiswaswadu8. Usitumie iPhone
Hahahaha sio poqCode number 6 haiepukiki kwa vijana ambao bado wanajitafuta.
Smart yoyote ila isiwe iPhoneTumia kiswaswadu
WhySmart yoyote ila isiwe iPhone
Kutumia iPhone ni umama