Men Code

Isitoshe kusema wewe ni moja ya watu wachache waliobaki wenye akili
 
Hizi ni boys code. 18-30.

Mwanaume mtu mzima hayo mambo ya hiphop, movie saa ngapi? Umri unavyoenda unajikuta muda mwingi ni Familia, kazi/biashara, bar au ibada. Ukihama hapo ni vikao mara Saccos, mjumbe sijui wa nini, vikao vya kamati n.k

Mambo ya shoo za uhakika pia ni mara chache na sio priority. Ukiita mama ni romance kimtindo kisha wawawawawa, zoezi la 40min pamoja na romance umemaliza anaanza kukuambia shida zake huku anapapasa kifua, utamuita tena ukimuhitaji.
 
Kwa Mara ya kwanza Leo nimeona Uzi wenye maana kwenye ili jukwaa

Ongeza mwanaume usiendeshe gari ya mwanaume mwenzio kopa hata gari ila iwe yako tu!!

Pia mwanaume usitongoze demu we beba tu ondoka naye kama hataki pita kule

Pia mwanaume amka mapema sepa home rudi muda umeenda sana yaani usiku sana uwe na Siku moja tu kwa wiki ya kuwaona watoto wako na kuongea nao hata lisaa then potea.

ndo maisha yangu hayo.
 
Ndio maana wanaume tunakufa mapema na nyumba tunawaachia wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…