Men Only: Which Bongo Celebrity you'd rather go out with?

Men Only: Which Bongo Celebrity you'd rather go out with?

lakini si wote .....maana bongo celebrity refers wanawake wote maarufu bongo...si movie au b.fleva pekee

Mkuu kulingana na ufahamu wangu wa msamiati 'celebrity', ni mtu ambaye ni maarufu katika ulimwengu wa entertainment au sports.

Hivyo hata posts zangu zimebase hapo tu.
 
kwa hii Rep Power : 4436395 kwann usiwemo
 
Mkuu kulingana na ufahamu wangu wa msamiati 'celebrity', ni mtu ambaye ni maarufu katika ulimwengu wa entertainment au sports.

Hivyo hata posts zangu zimebase hapo tu.
A celebrity is a person, who has a prominent profile in day-to-day media and because of this commands some degree of public fascination and influence.
 
unagonga mzigo, dau lako tu

Kuna watu wakuwapa dau..ambao sio used sana..gal kam bby madaha she z ----- ..bt mtot kama batuli atakam ni ----- wa chin chin sio wa kujionesha..unakuwa nae tu
 
Aisee...mi mtoto wa igunga SHILOLE amenikamata vilivo..kiukweli kabisa hata mke wangu nilishawah kumwambia kuwa nampenda sana shilole
 
bila kujali anafanya nini behind the scene.. i rather go with

jacline_wolper_224_299.jpg
 
Back
Top Bottom