Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lakini si wote .....maana bongo celebrity refers wanawake wote maarufu bongo...si movie au b.fleva pekee
labda JF Celeb
A celebrity is a person, who has a prominent profile in day-to-day media and because of this commands some degree of public fascination and influence.Mkuu kulingana na ufahamu wangu wa msamiati 'celebrity', ni mtu ambaye ni maarufu katika ulimwengu wa entertainment au sports.
Hivyo hata posts zangu zimebase hapo tu.
Kawa westnised sana now image yak imekuwa mbaya cjui pale kati unaeza data room kuchek mzigo wa ndani ni tofauti na mwonekan wake
unagonga mzigo, dau lako tu
snura tuu?? mimi vp sikufai?
mkuu umedata na swaga nn?vanessa mdee....
![]()
hahaha, kweli we City Hunterkim nana
Aisee...mi mtoto wa igunga SHILOLE amenikamata vilivo..kiukweli kabisa hata mke wangu nilishawah kumwambia kuwa nampenda sana shilole