Men Talk: Kuhusu Single Mom's

Men Talk: Kuhusu Single Mom's

Go for single mother only when you ur desperate with out an alternative, otherwise its hell......
Didnt you come from a broken home?

Why would you point fingers?

or is your confidence derived from hiding behind the keyboard?
 
Didnt you come from a broken home?

Why would you point fingers?

or is your confidence derived from hiding behind the keyboard?
It has no connection with perpetuating the misery from marrying single mothers........ unless you ur marrying for sank of helping or charity but singo mathers No No
 
Moyo wa mapenzi kwa hawa singo mazaz ulishakufa kitambo sana.Wengi wao wamekuwa traumatized ktk past relationships...kwahiyo suala la kupenda huwa halipo kwenye mioyo na akili zao, wanachoangalia ni kuwa na mwanaume yeyote yule anayeweza kumtunza yy na mwanae/ wanawe
 
Masingle mother wanawaweka mpaka kwenye mabango ya 6M mnasemaje hawana upendo?hizi Ni porojo
 
afu cha ajabu unawasema shangazi zako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha Shangazi yangu mmoja ana watoto saba kila mmoja na baba yake na hakuwahi kuolewa yaani kiufupi ni Single Mather mwenye experience ya kutosha.

NB: Chakushangaza hua anahudhuria kwenye kitchen parties na ushauri anatoa [emoji41][emoji41][emoji41][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana.. Shabani Ni mpaka magari rangi sio fisadi sidhani Kama anaweza chezea pesa yake kiasi hicho
Mhm wee hujui analewa nini kwa kitanda mbona wanaume ikija suala la mbususu ata hela uipate kwa tabu gani bado utahinga tuu....itakuwa hujawahi kukaa site na wabe a zege wewe
 
Mi nikimiss mkuyenge nakuwa kama sina shida na huduma yoyote zaidi ya hilo....nikishatetemeka hapo ndo nakumbuka kumbe natakiwa nipewe na huduma za miamala
 
Back
Top Bottom