Tatizo nikija nikaanza kuonyesha ishara utasema waziri mkuu anakutilia wivu.
Huku kimoyo moyo nasema, " lote lako hilo?"
Kwa hiyo ntapitia nikiwa mwenyewe. Fee ntalipia tu.
Ukuje tuu na waziri wako ili niuze na juice yake pia...
Halafu kesho ndo ukuje uchukue juice ya take away ila pia ukuje na rafiki yako ambaye ana gelofrendi ili nae akichukua juice amchukulie na waziri wake....
Cash in...
Juice out....
Tikee..!
Unamaanisha Nn vileUmeongea mengi. Ila usimnyime mwanaume mwenzetu vbaya hivyo.π
Ila sharti lazima wanunue juice ndio wapate misa! Kama kikombe cha babuShiindwaaaaa....!!!
Ama laaa....
Ntaita wizara zote zije kufanyiwa maombi na mchungaji....π
Ndio uandae juice ya wizara zote! Na tukitoka hapo naenda kumpa misa mchungaji pia...π€£π€£π€£π€£ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½.
Basi huwa nakujaga hapo mie, njia ipi hiyo? [emoji7][emoji7]Mlimani...[emoji4].
Ndo maana nanihiii.....
Kabisa weweee....
Ahsante! We andaa juice ntakupitishia na yale mambo kesho Inshallah.
Ya mchungaji na waziri mkuu ntapambana nayo mwenyewe, I will always be a man of course.
Kama sio kesho jioni, keshokutwa asubuhi Inshallah. Lote lako hilo?Hiyo kesho iwe leo au kesho iwe kesho kutwa.....
Itakuwa ewaaaaa.....πππ
Ntakuja baadae jioni, nshapajua [emoji7][emoji7]Aahahahahahaaaa ya kutokea Mlimani City.
Ulikuwa wapiii.....
Daaaah ndugu yangu mihangaiko hii bhn
Welcome back....!π