Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
- Thread starter
- #61
Tatizo nikija nikaanza kuonyesha ishara utasema waziri mkuu anakutilia wivu.
Huku kimoyo moyo nasema, " lote lako hilo?"
Kwa hiyo ntapitia nikiwa mwenyewe. Fee ntalipia tu.
Ukuje tuu na waziri wako ili niuze na juice yake pia...
Halafu kesho ndo ukuje uchukue juice ya take away ila pia ukuje na rafiki yako ambaye ana gelofrendi ili nae akichukua juice amchukulie na waziri wake....
Cash in...
Juice out....
Tikee..!