Mende anaogopesha jamani, acha tu...

Uyo unakamata na kukata kichwa chake kwa meno. Than unamdumbukiza chooni
 
Wale mnaojitia amuogopi mende

Hv umelala mara ukashtuka usiku ukaona mende anatambaa ndani ya blanketi

Hv hautojikuta kwenye swtch kuwasha taa kuangalia ni jambo gani?
 
Uyo unakamata na kukata kichwa chake kwa meno. Than unamdumbukiza chooni
we unaweza fanya hivyo mkuu?

Ulivyoandika tu hivyo wakati nasoma reply yako mwili ume vibrate
 
Stori yako inafikirisha sana yaani.........

1. Haja kubwa (Inahusisha sehemu ya haja kubwa)
2. Lodge......
3. Bar ( inahusisha vilevi)
4. Mende ( Kifo cha mende)
5. Unakimbia unasikia mzigo unasukuma nyuma sehemu ya haja kubwa.......
6. Ukiwa kwenye starehe yako (Kusukuma kitu kuhusisha sehemu ya haja kubwa)

Anyways, ukachukua mop ukampiga akakufa ukarudi kwenye starehe yako..................
 
Mkuu hizi Codes ni noma. Ila sio mbaya najaribu kupata pata picha halisi.
 
we na wewe
 
Mende na kunguni ni wadudu ambao hata kuwaona spendi, ukitaka siku yangu iende vibaya bas nionyeshe mende na kunguni...hao wadudu Wana sura mbaya achilia mbali kutia kinyaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…