mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
Uyo unakamata na kukata kichwa chake kwa meno. Than unamdumbukiza chooni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]umetishaMuda wa kukumbuka kama nilikua nakata gogo ulikuwepo sasa Mkuu,
Nilijikuta tu nshasimama nipo kule mlangoni
Uliruka hivi??Mkuu hata mimi mwanaume unajua
Hapana mimi mlango nilikua nimeufunga sikupata pakurukiaUliruka hivi?? View attachment 1218242
OK siku nyingine nenda cha shimo hiviHapana mimi mlango nilikua nimeufunga sikupata pakurukia
Nilirukia tu upande wa pili mbali na sink
hicho cha ivyo hakipatikani kwa urahisi siku hiziOK siku nyingine nenda cha shimo hivi View attachment 1218243
we na weweStori yako inafikirisha sana yaani.........
1. Haja kubwa (Inahusisha sehemu ya haja kubwa)
2. Lodge......
3. Bar ( inahusisha vilevi)
4. Mende ( Kifo cha mende)
5. Unakimbia unasikia mzigo unasukuwa nyuma sehemu ya haja kubwa.......
6. Ukiwa kwenye starehe yako (Kusukuma kitu kuhusisha sehemu ya haja kubwa)
Anyways, ukachukua mop ukampiga akakufa ukarudi kwenye starehe yako..................
Mende na kunguni ni wadudu ambao hata kuwaona spendi, ukitaka siku yangu iende vibaya bas nionyeshe mende na kunguni...hao wadudu Wana sura mbaya achilia mbali kutia kinyaaLeo mida flani nilikua kazini ghafla nikaskia haja yani hadi nikahisi naweza Jinyea leo
Nikakimbia choo cha ofisini RRRRR nasukuma ndani mtu akakohoa
Nikasema leo ndio leo Nafwaaa
Haya toka speeeed sana hadi nnje vuka barabara kuna LODGE opposite nikaenda straight
Maana najua vyoo vya hapo vilipo
Kufika sukuma mlango Umefungwa shika kitasa kigumu
Mdada mmoja akaniambia "Mlango umefungwa kaka" kachukue funguo kaunta
Naenda kaunta sikuti mtu aiseeeeeeeeeee (acheni kabisa bandugu)
Kimbia kimbia zile nikaponea Choo cha BAR moja hivi ipo kule mbele mbele
Kadri ninavyokaribia chooni ndio huku nyuma mzigo kama unasukumwa uje mzima mzima
Nashukuru mungu kufika eneo la tukio (chooni) nikakuta pako wazi nikazama funga mlango chuchumaaa (nikawa napata burdaniiiiii)
Nikiwa kwenye starehe yangu si akatokea mshua MENDE sijui alitokea wapi nikamsikia anapanda kwenye vidole daaaah
Si unajua nilivaa sendo Nikaskia kitu kinapita kwenye vidole vya miguuu,Kucheki hivi Kiruuuuu Jamaaa bonge la MENDEEE
asee niliruka juuuu nikasema kama noma na iwe noma Huyu mende sio wa kawaida
Basi nkachukua mop nikampga akakufa,nikarudi kuburudika
Mende acheni jamani...mwaka 2019 nadhani leo ndio namuona mende tangu mwaka uanze
anatisha kabisa,siwacheki tena wale wakuitwa Wanaume wa DAR
Halafu utasikia mtu anasema hawa wadudu wanaliwa watamuuuu...AAAAAH nife njaaa tu kwakweli
View attachment 1218220