Mende ,Panya na wengineo: Kiumbe gani kikiingia nyumbani/ghetoni kwako unakosa amani kabisa?? Am

Mende ,Panya na wengineo: Kiumbe gani kikiingia nyumbani/ghetoni kwako unakosa amani kabisa?? Am

Kuna vile vimjusi vyeupe.
Halooo huwa najisikia hadi kichefuchefu.

Hahah mkuu, hao mimi nikiwaona nafurahi sana wana faida sana kazi yao ni kula mbu, mende na wadudu wengine wadogo ndani ya nyumba so hana shida yeyote zaidi ya faida tu.
 
Adui ndani kwangu ni
Nzi,mende,panya,mbu na kunguni ndio maana kwangu sikosi dawa ya kupuliza ya rungu.
Sina hao wadudu ndani ila nanunuaga rungu spray kama silaha ya akiba hata iliisha usiku lazima nitoke nikanunue
 
Back
Top Bottom