Kuna vile vimjusi vyeupe.
Halooo huwa najisikia hadi kichefuchefu.
Aisee huyo mdudu mwanaume itakuwa kuna anachokitaka [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mie akiingia mdudu mwanaume gheto kwangu
Nakosa amani kabisa.
Ni hatari huyo bwana mdogo [emoji16] [emoji16] [emoji16]Hamna kitu hatareee kama mnyama vampire kunguni unaweza hata kuchoma nyumba aiseee
Umeona eeeAisee huyo mdudu mwanaume itakuwa kuna anachokitaka [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] kuwa makini tu ikiwezekana mwambie staki kukuona ukiingia kwangu [emoji12] [emoji12]Umeona eee
Ok[emoji23] [emoji23] kuwa makini tu ikiwezekana mwambie staki kukuona ukiingia kwangu [emoji12] [emoji12]
Aisee [emoji15] [emoji15] [emoji15]Wanaume wa Dar na dada zao
Sio kila mjusi wa kuua, hatariMimi naviogopa hata kuviua sidhubutu yani. Natamani ningepata ujasiri kama wako.