Wabunge wake wanajadili ngono bungeni badala ya maendeleoCCM ni chama dhulumati wa haki na uhuru wa Wawatanzania.
Wakihisi wapiganiwa wametepeta akili kama waoMkuu si unajua wapo uwanja wa vita, na hawajui wanapigana na nani. hivyo wanafanya igizo la vita
Hali ya kisiasa bado ni ngumu kwa watawala. Teuzi za hivi karibuni zinazungumza wazi bila kuficha hofu kubwa iliyowafunika.Dhuluma, hata siku moJa, haijawahi kuzaa neema.
CCM ni chama dhulumati wa haki na uhuru wa Watanzania. Watu hawa kamwe hawatajaliwa baraka Duniani na mbinguni. Watu hawa kila siku wanawaza dhuluma, wanawaza ni namna gani wawadhulumu Watanzania haki ya kuwapata viongozi wanaowataka. Ndiyo maana siku zote katika sheria zote wazitungazo zimejaa hila na hadaa.
Tunaombea watu hawa walaanike wao na vizazi vyao kwa sababu hawawawazii mema watanzania.
Kitanga cha mkono angali nakiona kinaendelea kuandikaTusidanganywe na lugha zenye hadaa nyingi za wabunge wetu wanaojadili miswada ya sheria za Uchaguzi. Hawana nia njema kwa nchi
Hawana maono mema kwa nchi
Hawana huruma kwa nchi.
Kinachojulikana sasa ni kwamba, Serikali na Chama cha Mapinduzi ni wamoja dhidi ya uhalali, haki na wajibu kwa wananchi na michakato yote ya kidemokrasia.
Hili lilikuwa ni jaribio la mwisho la kujenga uaminifu, umoja, mshikamano na maridhiano baina ya wenye nchi na viongozi. Lakini kwa wazi kabisa tunaona namna ambavyo haki imegeuka kuwa fadhila.
Mene mene Tekeli na Peresi
Naunga mkono hoja CCM "Mene Mene Tekeli na Peresi" ....?!tunaona namna ambavyo haki imegeuka kuwa fadhila.
Mene mene Tekeli na Peresi
Wanapofishwa na posho misafara na hela za mikopo siku zinakujaTusidanganywe na lugha zenye hadaa nyingi za wabunge wetu wanaojadili miswada ya sheria za Uchaguzi. Hawana nia njema kwa nchi
Hawana maono mema kwa nchi
Hawana huruma kwa nchi.
Kinachojulikana sasa ni kwamba, Serikali na Chama cha Mapinduzi ni wamoja dhidi ya uhalali, haki na wajibu kwa wananchi na michakato yote ya kidemokrasia.
Hili lilikuwa ni jaribio la mwisho la kujenga uaminifu, umoja, mshikamano na maridhiano baina ya wenye nchi na viongozi. Lakini kwa wazi kabisa tunaona namna ambavyo haki imegeuka kuwa fadhila.
Mene mene Tekeli na Peresi
Kinachojulikana sasa ni kwamba, Serikali na Chama cha Mapinduzi ni wamoja dhidi ya uhalali, haki na wajibu kwa wananchi na michakato yote ya kidemokrasia.Tusidanganywe na lugha zenye hadaa nyingi za wabunge wetu wanaojadili miswada ya sheria za Uchaguzi. Hawana nia njema kwa nchi
Hawana maono mema kwa nchi
Hawana huruma kwa nchi.
Kinachojulikana sasa ni kwamba, Serikali na Chama cha Mapinduzi ni wamoja dhidi ya uhalali, haki na wajibu kwa wananchi na michakato yote ya kidemokrasia.
Hili lilikuwa ni jaribio la mwisho la kujenga uaminifu, umoja, mshikamano na maridhiano baina ya wenye nchi na viongozi. Lakini kwa wazi kabisa tunaona namna ambavyo haki imegeuka kuwa fadhila.
Mene mene Tekeli na Peresi
Kwani pia zile mashine za kuongeza makalio zilizoagizwa kuletwa nchini nazo zilipata baraka zao na Budget ?Wabunge wake wanajadili ngono bungeni badala ya maendeleo
Usisahau na robot napeKwani pia zile mashine za kuongeza makalio zilizoagizwa kuletwa nchini nazo zilipata baraka zao na Budget ?