Meneja Babu Tale!


kuli dauni kwanza... Swaumu nini?
 

kwanza unaijua OSATA??? Herufi O katika OSATA ni Othuman Suka ambaye ni mfanyakazi wa Cloudsfm kwenye upande wa kusikiliza/kuhakiki nyimbo za wasanii na kuzipitisha kabla ya kupigwa. Na herufi SA katika OSATA ni Said Fela ambaya ni meneja wa kundi la Tmk Wanaume family, Herufi za mwisho TA katika OSATA ni Tale ambaye pia ni manager wa kundi la Tip Top connection. Check nilipo weka red, and connect the dots.

For you information, Master Jay kam manager Shaa for a long time without success, at last kampeleka kwa Fella and things are working out.
 
papaa Misifa...
Then Ruge...
then Raqey Mohammed wa I-view Media
then Babu Tale, Mkubwa Fella and some other dude...
Diamond ana three managers ate the moment
That other dude..mwarabu koko hivi..stori nyingi hamna kitu naye maimuna copy n paste aka njaaa kali..me fella kidogo nampa heshima jamaa kainvest kwenye hii game nakumbuka kipindi Nature anatoka yeye ndo alikuwa sponser wa nature na vijana wengi wa Tmk thats 90s...man has been around..najua wanamsema ila anamchango kwenye bongo flava..unlike huyu babu yale ovyoo tu.. mpambe mpambe
Ndo wale wale dai mwenyewe anamwita mzee wa fitna doh..kkwenye IG anasemw
 
so what the heck is Osata???what do they do???I talked abt People knowing wat real music is and real talents kampeleka coz Jay master hawezi uswahili kashainvest sana kwa mziki..kazi yake yeye kama producer anafanya vizuri..niliwataja hao watu kama wanaojua mziki wa tanzania vvizuri of our generation "bongoflava"..hao wengine tale na wenzie fitna ndo wanaziweza za kushinda clouds nyimbo zipigwe sa master j haya hatayaweza wapi??jamaa wanakodi kama hawakusimamii wao nyimboo clouds zinachezwa kwa nadra sana ..hawa wanabana na wanafanya fitna..
 
Kipaji bila management nzuri ni sawa na bure. Kama Diamond mwenyewe anashukuru management ya babu tale na mkubwa fella kwanini wewe uje hapa kuandika kwa hisia kama vile ulinyimwa kitu fulani na huyo babu tale
 
✋✋✌👏👏👏👌...yani spot on
Kitu on point.senkyuu.acha wapambe vilaza wasio jua huu mziki walopoke..
 
huyo mwarabu koko anaitwa Raqey Mohammed...
you seem to have a thing for Babu Tale... kakufanya nini??
diamoond kamdiss wapi? IG ipi????
 
papaa Misifa...
Then Ruge...
then Raqey Mohammed wa I-view Media
then Babu Tale, Mkubwa Fella and some other dude...
Diamond ana three managers ate the moment

didn't know asante kwa info.

huyo Raqey ilikuwaje wakatemana
 
Tatizo umekataa kuongea ukweli Hata kidogo!
Huyo babu Tale hata kama unamuona hajafanya lolote hao wasanii anao wasaidia na kuwa manage Wanaona matunda yake!

Tunajua fika Tale is not parfect manager Lakini ameonesha anaweza na amefanya yaliowashinda ma manager wengine wa wasanii!

Kwenye ukweli tuwe tunasema na uongo tuseme pia hili kutenda haki! Ni aibu kusema Tip top au TMK hazina mafanikio yeyote ni wazi hautendi haki kabisa.

Mwenye macho anaona mwenyewe kuwa hao wana mchango mkubwa kwa wasanii uliyo wataja!Kama unajua maana na kazi za manager huwezi kushangaa msanii kuambiwa show hii fanya na hii hapana!



Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni! Kuna mambo mengi mazuri yamefanywa na Tale kuwa fikisha hao wasanii hapo walipo na pia Kuna sehemu amekosea kama binadamu!
 

huyu Winnie227 ana lake jambo...
 
huyo mwarabu koko anaitwa Raqey Mohammed...
you seem to have a thing for Babu Tale... kakufanya nini??
diamoond kamdiss wapi? IG ipi????
Sio raqey..if u do ur research raqey isnt mentioned..as far as I k know raqey anajielewa..mwarabu nayemzungumzia mimi ni anajiita sk ents ndo hakumdiss anamwita mzee wa fitna kama utani.ila wanaomjua watakwambia vizuri hawa jamaa wapambe..Raque kwanza shule ipo pale
Jamaa pia ni proffisional sio unga unga
 
huyu Winnie227 ana lake jambo...

Hahahahahahaha nimeamini watu weusi wavivu kusoma aka reading..wanakwambia ukitaka kumficha utajiri mtu mweusi weka kwneye vitabu sisi always tunapenda kudandia vitu kwa mbele bila research ndo maana mtu ukiwa una toa maoni yako watu ukimbilia na kukuita "Hater"...haya sikataI kama Beneja maana sio meneja anastahili kumwambia fanya show hii husifanye hile..sema mfano mdogo hivi recent kwa habari za mtu wa kambini kwao inasemekana ile show ya uingereza ambayo dai alitaka kupanda first class na kucancel show huyu Tale ndo alikomaa na kusema dakika za mwisho kuitisha ikatwe first class la sivyo show wanacancel
Haya niambie huyu mtu anaakili kweli..mbona wakati huo huo marekani,sa wameenda na economy..huyu jamaa anapenda kuabudiwa na uswahili kwenye kazi ndo zake
 
Kipaji bila management nzuri ni sawa na bure. Kama Diamond mwenyewe anashukuru management ya babu tale na mkubwa fella kwanini wewe uje hapa kuandika kwa hisia kama vile ulinyimwa kitu fulani na huyo babu tale

Nani hasiyejua hilI..acheni kukariri
Nisichopenda ni sifa za kipumbavu..Tale ana managerial skills ana uswahili na fitna..
I got respect for Fella coz dude has been maintained his game..ata pindi nature anawabwaga chege na temba jamaa alikaza hakukata tamaa na ndo aliwapiga taff jamaa kipesa mpaka wakatoa projects..but talle hapana nakataaa na ashukuru mawingu otherwise chaliii
 
papaa Misifa...
Then Ruge...
then Raqey Mohammed wa I-view Media
then Babu Tale, Mkubwa Fella and some other dude...
Diamond ana three managers ate the moment
Ruge ndo signatory wa deal zote za Almasi..kuanzia coca cola na nnyingine nadhani mnazijua boss ruge ana 10% kama sio 20% kwa dogo ni moja ya watu bbehind the scene..Talle ni project wa Ruge anatumwa fanya hivi,sema hivi..u gotta give it up to Rugge nshomile anawaibia sana vilaza
 
papaa Msofe........ walishindwana au ilikuwaje??

Mawingu+fela+tale waliungana na kumuundia zengwe papaa ili atemane na dogo,na hapo walikuwa na mkataba hvo kwa kbreach that aggreement ikabid diamond amlipe papaa 18m


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 

1. tehee theee..kwanza mstari wa kwanza kwenye red. sio kila mtu ni mvivu wa kusoma, lakini kama unaandika kama mtoto wa darasa la tatu, lazima tuone uvivu.. refer to past posts, makosa yako nilikuwa naya quote in red.

2. Meneja kutaka diamond apande first class ni strategy ya kupandisha status ya msanii wake. imagine Diamond angekuwa hakatai show za million mbili ingekuwaje??

3. Hio show wali cancel baada ya promoter kuonyesha dalili za utapeli, lakini waliamua kumsitiri kwa kudai kwamba hakuweza kulipia first class....

use your head to think!!
 
and why the personal attack on Talle?? wakina ostaz juma huwaoni????
just tell us if this personal tuelewe...
 
Hapo nilipo pigia mstari pameondoa uhalali wa maandishi yako! Huyu Tale si parfect Manager Lakini pengine umeshindwa kuonesha alipo kosea na hatuwezi kutoa hukumu kupitia neno inasemekana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…