n kweli tale anawasaidia sana wasanii anao wa manage,lakin wakat huohuo anaharibu Bongofleva..
ILI GAME YA BONGO IENDELEE INABIDI WATU KAMA TALE WASIWEPO..
Ingawa simpendi ruge lkn nikiri kwamba ruge Ni most smartest man in entertainment industry in Tanzania hili halina ubishi , ruge anajua wasanii wengi wa bongo hamna kitu kichwani thy why anawaendesha km ana rimoti ,cheki alivyodili na ule ugomvi WA vinega coz alijua sugu ndyo kichwa cha crew nzima tht y akaamua kudil nae coz aljua akimalizana na sugu automatically vinega wengine watakosa nguvu waliyokuwanayo mwanzo. Anacheza game ya bongo flava km IPO sebuleni kwake anaamua nan ashine this time nani abaniwe ....cha ajab wasanii hawataki kushuhulisha akil zao wamebak kulia Lia Tu ...nilipenda jide alivyouhandle ugomvi wake na clouds na still Ana survive ivo ndyo wasanii wabapaswa kuwa na cyo kuwalilia wakina ruge
Ingawa simpendi ruge lkn nikiri kwamba ruge Ni most smartest man in entertainment industry in Tanzania hili halina ubishi , ruge anajua wasanii wengi wa bongo hamna kitu kichwani thy why anawaendesha km ana rimoti ,cheki alivyodili na ule ugomvi WA vinega coz alijua sugu ndyo most smartest in the crew tht y akaamua kudil nae coz aljua akimalizana na sugu automatically vinega wengine watakosa nguvu waliyokuwanayo mwanzo.(na Hilo alifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana rejea mapacha walivyoenda kulia Lia kwa ruge) Anaiendesha game ya bongo flava km IPO sebuleni kwake anaamua nan ashine this time nani abaniwe ....cha ajab wasanii hawataki kushuhulisha akil zao wamebak kulia Lia Tu ...nilipenda jide alivyouhandle ugomvi wake na clouds na still Ana survive ivo ndyo wasanii wabapaswa kuwa na cyo kuwalilia wakina ruge
Ni NEXT LEVEL sio iyo yako!Jamaa aliyesema tale kibongo bongo anaweza..
Siwezi kataa amethubutu sema kama tunataka muxiki uwende next lever huo uswahili unamwisho..la sivyo tutaiahia hivyo hivyo..
Jamaa kwanza maimuna aka english not reachable..huwa nawaza anaongea nini akisafiri na Diamond nchi zisizoongea swahili..Lugha ya kiingereza pale sifuri anaunga unga tu...ila hapo ndo unaambiwa jamaa ndo kila kitu daaah!
yani ninavyosoma hivi ndo nazid kumchukia yule baba junior japo chuki zangu hazimuathiri but simpendi ruge jamani na mbwa wake woteee....!
unachekesha sana malezo yakotu yanaonyesha unavyomkubari huwezimchukia mtu afu unamwongeleaongelea ndo zile simpendi yule kaka halafu kila siku lazima ujue anafanya nini na yupo wapi that is foolish!Ingawa simpendi ruge lkn nikiri kwamba ruge Ni most smartest man in entertainment industry in Tanzania hili halina ubishi , ruge anajua wasanii wengi wa bongo hamna kitu kichwani thy why anawaendesha km ana rimoti ,cheki alivyodili na ule ugomvi WA vinega coz alijua sugu ndyo most smartest in the crew tht y akaamua kudil nae coz aljua akimalizana na sugu automatically vinega wengine watakosa nguvu waliyokuwanayo mwanzo.(na Hilo alifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana rejea mapacha walivyoenda kulia Lia kwa ruge) Anaiendesha game ya bongo flava km IPO sebuleni kwake anaamua nan ashine this time nani abaniwe ....cha ajab wasanii hawataki kushuhulisha akil zao wamebak kulia Lia Tu ...nilipenda jide alivyouhandle ugomvi wake na clouds na still Ana survive ivo ndyo wasanii wabapaswa kuwa na cyo kuwalilia wakina ruge
Yaani sijui ni kwa nini mtu yoyote anyeikandamiza hii REDIO NA WATU WAKE WAKATI akilini mwake anajua kwamba wamejaribu wameweza na wanasonga mbele namuona kama LE mbululaaaaaz alijisemea LE BILIONEA LE BIG SHOW!
Wakuu nawaibieni siri meneja WA diamond ni ruge hyo babu tale na said fella ni botion tu...hebu angalien mambo anayoyafanya diamond kwa akili ya kawaida utagundua Kuna mtu ambaye Yuko very smart nyuma yake....na cyo bogus km babu tale na fella
Mkuu hii ID ya kike ila una flow kiume kweli hii n jamii forum...
Diamond Yuko chini clouds media babu tale said fella Ni mameneja vivuli
Acheni uvilaza jamaa hapo juu kaongea FACtS aka ugly truth...Ruge is a smart ass guy..he is the brain behind Diamond and all ya successful endorsements diamond has signed..na kwasababu wasanii wetu 98%Kayumba basi bwana ruge anatumia vizuri shule yake aliyoyipiga usa na kuwaibia hawa kayumbazunachekesha sana malezo yakotu yanaonyesha unavyomkubari huwezimchukia mtu afu unamwongeleaongelea ndo zile simpendi yule kaka halafu kila siku lazima ujue anafanya nini na yupo wapi that is foolish!
Ni NEXT LEVEL sio iyo yako!
Its called typing error u +÷÷%¥+¥+¥₩++1. the word is dumb, not dump.
2. its not about being dumb, and it is, then you are the dumb one here.
3. before any show, kuna negotiations zinafanyika, advance payments and so forth... for example, someone hasn't paid your advance, what do you do when time is due??? I insist, the show was cancelled kwa sababu za kiutapeli... WALISTUKA... go and do your research too... mambo ya first class yalikuja just kumsitiri promoter..
4. dont pretend to know much about music and management, otherwise, ditch your ass in and save them.
5. there are lots of lousy managers out there, you ca go and join them, since you seem to want being that, other than yelling on this forum... that wont help
Said Fela+Babu Tale+ Suka na boss wao Ruge hawa watu ndio wameshikilia mwelekeo wa mziki wa Tanzania kwa upande wa bongo fleva
hawa ndio wanawapangia wanamziki style gani waimbe ili waweze kutoka na hapo ndio kuna hatari kubwa sana kwamba watu wanne tu ndio wanaweza kupanga mwelekeo wa mziki wa nchi kubwa kama Tanzania.
Lakini pia tatizo kubwa lipo kwa wasaani kuliko kwa hawa jamaa nasema tatizo kubwa lipo kwa wasanii kwa sababu hawa wasanii wameshajijengea mentality kichwani kwamba bila Clouds hawezi kufanikiwa nadhani wakishaachana na hii mentality watapiga hatua kubwa sana hivi kwa nini utegemee tu Clouds wakati kuna radio kama RFA, Kiss Fm na radio one ambazo zinasikika Tanzania nzima?? tatizo nini hawa wasanii hawaziamini au?
Imejengeka tabia kwamba kila msaani akitaka kutambulisha nyimbo eti ni lazima aanzie kwanza Clouds utadhani radio iko moja tu
Sifurahii ugomvi wa aina yoyote kati ya msanii yeyote na kituo chochote hasa Clouds ila pia sipendi kusikia msaani flani kaenda kuwapigia magoti Clouds napenda nisikie msaanii wasaani wamalize ugomvi na Clouds kwa makubaliano bila kuonekana upande flani ndio unanyenyekewa
Hizi radio zilizobaki nao pia nadhani wamekosa ubunifu hasa kwenye vipindi vya burudani ndio maana Clouds wanaendelea kuwa radio inayopendwa zaidi hasa kwenye vipindi vya burudani hapa kwenye ubunifu naomba niunganishe na Mamanagers pia
Pamoja na mabaya mengi anayomwagiwa Ruge mimi nikiwa mmojawapo lakini lazima tukubaliane tu kwamba huyu jamaa ni mbunifu sana ameitoa Clouds kuwa radio ya kawaida kabisa hadi kuwa Super brand radio kuna vitu watu watamlaumu bure tu sababu hii radio siyo ya umma kwamba inategemea ruzuku ya walala hoi lazima kina Ruge watengeneze pesa ili nao waishi changamoto ni kwa hizo radio nyingine kuwa wabunifu
kwanza unaijua OSATA??? Herufi O katika OSATA ni Othuman Suka ambaye ni mfanyakazi wa Cloudsfm kwenye upande wa kusikiliza/kuhakiki nyimbo za wasanii na kuzipitisha kabla ya kupigwa. Na herufi SA katika OSATA ni Said Fela ambaya ni meneja wa kundi la Tmk Wanaume family, Herufi za mwisho TA katika OSATA ni Tale ambaye pia ni manager wa kundi la Tip Top connection. Check nilipo weka red, and connect the dots.
For you information, Master Jay kam manager Shaa for a long time without success, at last kampeleka kwa Fella and things are working out.
Kipaji bila management nzuri ni sawa na bure. Kama Diamond mwenyewe anashukuru management ya babu tale na mkubwa fella kwanini wewe uje hapa kuandika kwa hisia kama vile ulinyimwa kitu fulani na huyo babu tale