komeka
JF-Expert Member
- May 1, 2013
- 1,072
- 403
Mi naomba kuuliza, kwani Clouz ndiyo radio pekee nchini? Kwani ukipigiwa nyimbo na clouz ndio unatoka? Mbona msanii kama Mo-music wa "Basi nenda" ametoka tu japo wimbo wake haujapigwa sana na clouz maana kizuri ni kizuri tu kama msanii ukiwa na wimbo mkali sidhani kama utaacha kutoka, mbona Samir nyimbo yake ilivuma kwa njia ya blutooth za simu bila clouz na leo ni msanii mkubwa tu..?!
mainstream ya muziki bongo omeshikiliwa na clouds madia sema ukionesha kipsji wenyewe watakutafuta....samir angekuwa na meneja mzuri sa IV angekuwa na hela nyingi Sana maana alichelewa kuingia mainstream lkn still alikuwa anashine na hichi ndyo ninachokizungumzia kwa wasanii WA bongoflava wasilie silie kutengwa waoneshe uwezo na cyo kujipendekeza kwa ruge kutia Tia huruma wamuige ay ambaye ameona mainstream ya bongo mpk uwalilie watu kaamua kuinvest nje ,... nowdays hawa wanaojiita wadau wanamtafuta wenyewe