Meneja: Kibu ana ofa tatu kutoka Nje ya Nchi

Meneja: Kibu ana ofa tatu kutoka Nje ya Nchi

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Ofa za usajili zilizokuja mezani za Kibu Denis kutoka nje ya Tanzania ni kutoka Misri, Sweden 🇸🇪 na Norway. Amethibitisha meneja wa mchezaji huyo, Carlos Mastermind.

20240502_233019.jpg
 
Hadi sasa Andre Onana yuko bora kwenye namba kuliko alivyokuwa De Gea kwa msimu. Ukipenda kuweka sana wachezaji kwenye namba ili uwaone bora, unaweza usiujue mpira sometimes.

Ova
Kibu ni mchezaji mwenye mapungufu mengi labda kama wanataka kukulu kakakala zake

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kibu ana push agenda za kijinga na wakala wake ili Simba waingie mtego wampe mkataba mnono

Angekua kapata ofa nzuri huko nje wasingehangaika kutangazwa Kila siku, wangekua wanafanya mawasiliano kimyakimya!! Wanatangaza kwa faida ya nani?
 
Back
Top Bottom