Meneja: Kibu ana ofa tatu kutoka Nje ya Nchi

Hadi sasa Andre Onana yuko bora kwenye namba kuliko alivyokuwa De Gea kwa msimu. Ukipenda kuweka sana wachezaji kwenye namba ili uwaone bora, unaweza usiujue mpira sometimes.

Ova
Kibu ni mchezaji mwenye mapungufu mengi labda kama wanataka kukulu kakakala zake

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Zamu yenu makolo ! Hakuna mkate mgumu mbele ya chai ! Enzi za mi simba damdam kwishnei !
 
Kibu ana push agenda za kijinga na wakala wake ili Simba waingie mtego wampe mkataba mnono

Angekua kapata ofa nzuri huko nje wasingehangaika kutangazwa Kila siku, wangekua wanafanya mawasiliano kimyakimya!! Wanatangaza kwa faida ya nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ