Meneja: Kibu ana ofa tatu kutoka Nje ya Nchi

Huu ndiyo msimu wao wa mavuno. Hivyo waachwe na wo wajinafasi.
 
Simba kama wapo serious msimu ujao,
Hamna mchezaji humo wa kuifikikirisha Simba
 
Kibu ni mchezaji mwenye mapungufu mengi labda kama wanataka kukulu kakakala zake

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hapana,,mambo ya kurongwa ndo Yana muathiri lakini kunamwalimu akimujulia kumtumia anatoa matokeo,mbona robatino alikiwa anapata matokeo
 
Ofa za usajili zilizokuja mezani za Kibu Denis kutoka nje ya Tanzania ni kutoka Misri, Sweden 🇸🇪 na Norway. Amethibitisha meneja wa mchezaji huyo, Carlos Mastermind.

View attachment 2979313
Jina lenyewe tu la meneja ...linasadifu kwamba limekaa kimchongo!
Carlos "Mastermind"!.... Sidhani kama nna la kuongezea hapo!
 
Kibu ni mchezaji machachari sio hatari ndiyo maana ana goli moja msimu mzima
 
Kibu anajituma ndicho kinachombeba.
 
Ningekuwa mo wa simba kwa ujinga niliouona mwaka huu wa wachezaji ningeruhusu wachezaji wote ambao hawaitaji kuchezea simba waondoke n
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…